CUF Inaongoza Katika Kura za Maoni Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Inaongoza Katika Kura za Maoni Zanzibar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Shamu, Oct 17, 2010.

 1. S

  Shamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika utafiti uliofanywa kwa muda mrefu na vyombo vya habari vya kimataifa, inaonesha kwamba CUF itapata ushindi mkubwa Zanzibar. Vyombo hivyo vya kimataifa bado vinajiuliza je CCM, wataachia Madaraka?
  CCM ni chama pekee ambacho kinaongoza kwa muda mreufu katika nchi zinazofuata mfumo wa vyama vingi. Nchi nyingi za kimataifa zinataka CUF ipewe madaraka Zanzibar iwapo watashinda, ili iwe changamoto kwa CCM.
  Je CCM wataachia Madaraka Zanzibar? Je CUF wamejiandaa na mpango gani kama hawatopewa Nchi na CCM?
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  Takwimu za kura hiyo ya maoni iko wapi? Tuache kuleta taarifa nusunusu jamani............kama ni maoni yako binafsi uwe wazi badala ya kuegemea "vyombo vya habari vya kimataifa" ili kuipa uzito wa kuaminika hii habari yako
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hata bila chanzo ban a Shein zoba san a ban a hawed kuwa rais
   
 4. J

  John10 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataachia madaraka tu CCM. Shein hana jipya.
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki kijiwe kinahitaji data siyo polojo tu!

  Pamoja na hayo:

  Tunawatikia heri. CUF Zanzibar, CHADEMA bara = Serikali tatu
   
 6. J

  John10 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ndiyo wakati wa kuwa pamoja. CCM ikiachia Znz basi itaweza kuachia bara, baada ya miaka kama 20 inayokuja.
   
 7. u

  urasa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapiga kura watarajiwa wa zenj ni laki 4 na watakaojitokeza siku ya kupiga kura ni laaki 3,kwa hiyo viva cuf
   
 8. J

  John10 JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu kuna dalili kwamba CUF itashinda kwa nguvu sana.
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hamna mwaka huu ndio inaaanguka vibaya maana wanapoteza hadi baadhi ya viti kwenye ngome yake kuu
   
 10. J

  John10 JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaCCM wengi hawamkubali Dr. Shein. Kuna asilimia kubwa ya Wazanzibari wengi wanahoji tangu awepo katika CCM, Dr Shein hajafanya jambo lolote la kuisadia Zanzibar. Kitu ambacho kitafanya huyu jamaa ashindwe vibaya.
   
 11. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wengi wa wanaccm Zanzibar wanajua kuwa Shein ni pandikizi la mafisadi wa ccm bara,si chaguo la Wazanzibari.
   
 12. J

  John10 JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shein atatumiwa vibaya sana na CCM kuliko marais wote waliopita ZNZ.
   
Loading...