chadema haiwezi kuogopa cuf au ccm zaidi hivyo vyama viwili ndio vinachanganyikiwa wakisikia chadema inakuja na ndio maana hawaishi kuzikopi sera na hoja za chadema, ebu jiulize kama kuna siku chadema walishawahi kuidandia hoja au sera ya chama chochote kati ya hivyo viwili
Kutegemea kitu kinachoitwa mtaji ndo kilichowaponza CUF Igunga.
So take CARE.
Hiyo ya mkewe sahau, labda yake mwenyewe ingawa hata hiyo yake kama mgombea ina wasi wasi!Igunga walikua na mtaji wa kura elfu 10 wakaangukia pua,sasa huko arumeru na mtaji wao wa kura 265 si watapata kura mbili tu ya mgombea na mkewe!
Hiyo ya mkewe sahau, labda yake mwenyewe ingawa hata hiyo yake kama mgombea ina wasi wasi!
Ushauri wa bure kwa Mtatiro na CUF kwa ujumla, achaneni na chaguzi ndogo kwa sasa. Mnapoteza rasilimali za chama bure kabisa. Imarisheni chama kwanza na kurudisha imani ya wananchi kwenu.Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.
Source:Nipashe
Wanashindania nafasi ya pili hao.Mbona naona mnaiogopa CUF kupita ccm?
Watapata kura nyingi zaidi lakini hawatashinda for sure;
Ni vizuri washiriki kwa nguvu sana kuongeza ili ya uraia na kuongeza uhai wa chama..pande za kaskazini
Hivi mbona mnawaogopa CUF zaidi kuliko CCM?
Go Go Mtatiro, wasikukatishe tamaa
Namshauri atumie zile strategy za Igunga ili kuwa na mafanikio ahahaha...Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.
Source:Nipashe
kwani cuf iliwahi kushinda maeneo ya wakristu?
Kutegemea kitu kinachoitwa mtaji ndo kilichowaponza CUF Igunga.
So take CARE.