KAFU wapo, wewe hukuona kwenye Television wakiwa ofisi yetu kuu (Ikulu) walipopeleka mapendekezo (rasmu) yao wakati waliishaiwasilisha zamani. Kwasasa KAFU wanakuwepokuwepo hata pale ambapo hawapaswi kuwepo. Wewe unategemea nini baada ya kuingia makubaliano na CCEMU ambayo wengine wanayaita ndoa ya mkeka?
Mwanzoni walionekana ni wakombozi na mabalozi wazuri kwa upande wa Zanzibari lakini kwasasa wamefulia. Wazanzibari kwa sasa hawana chama cha upinzani cha kuwakilisha mawazo yao mbadala, lakini wapo hata kama utasema hawavumi.
Suala moja ambalo nimelijua sasa ni kwamba CCEMU inaharibu akiri za wapi. Waweza kuorodhesha watu unaowajua wewe waliokuwa upinzani na sasa wapo CCEMU .... linganisha uwezo wao wa fikira na ujengaji wa hoja wakati huo (kabla ya kurudi CCEMU) na ujengaji wa hoja baada ya kurudi CCEMU. Mwangalie Lamwaiii, Tambweee na Wa-sila! kwa kutaja wachache.
Hivi ndivyo uzoefu unavyoonyesha pindi uafunga ndoa isiyokuwa na mshenga hasa katika mambo ya siasa za ghiriba.
Tatizo lenu ni kuwa nyinyi hamjuwi siasa bali mnajuwa vuruguBasi! Kama siasa maana yake ni kuleta maendeleo na haki basi sijuwi kwanini mnataka kuwaona Wazanzibari hawajishughulishi na maendeleo. Kama siasa kwenu ni vurugu kutokana na kukosa ya kufanya Wazanzibari sasa wanayo mengi ya kufanya badala ya kupoteza muda na kupigishana kelele.
Kama siasa kwenu ni kwa pande mbili kutosikilizana na wagombane basi Wazanzibari wapo kwenye kidato cha kufahamu kuwa watu huelewana kwa mazungumzo na sio kwa kupigishana makelele.
Na kama damu za watu humwagika kwa sababu ya kutafuta suluhu basi damu za Wazanzibari zimeshafanya hivyo na tukizimwaga tena sijui tutakuwa tunazimwaga kwa sababu gani.
INDHARI: Zanzibar si siasa tu bali kwa mambo mengi ilmekuwa ni mwalimu kwenu basi jaribuni kujiepusha na mambo ambayo mwalimu wenu yalimtia dowa na sio kushangiria jambo msilolijuwa. Watu wawili Arusha zogo jee mkifika hali ya Zanzibar 2005 itakuwaje? Hatuhitaji wendawazimu wengine tulionao wanatosha!
Hivi ndivyo uzoefu unavyoonyesha pindi uafunga ndoa isiyokuwa na mshenga hasa katika mambo ya siasa za ghiriba.[/QUOTE]