CUF imeiuza Zanzibar, Maalim Seif ndio dalali

CUF imeiuza Zanzibar, Maalim Seif ndio dalali

Nimekupa usaliti wa Maalim Seif ni wa kuzuia vuvugu la kujinasua na Tanganyika na waliosimamia vuguvugu hilo Jumbe,Dourado na Dr. Swanzi, kwa pamoja Maalim kwa kauli yake akawaita wahaini mbele ya kadamunasi ya wazanzibari na mbele ya Nyerere, unataka ushahidi gani? Ushahidi wa Kinyamwezi mimi sina!

Usisuse tunajifunza mengi hapa JF.

Tatizo sio kauli za maalim tatizo kumwita msaliti wa vugu vugu na msaliti wa Zanzibar. Wewe umeegemea Maalim kumwita Dourado na Jumbe kuwa wahaini na kwa hivyo kuridhika kuwa Maalim ni msaliti yaani hoja zako hazitoshi. Ilikuwa ni muhimu tupate ushahidi zaidi kwa sababu SIRI ZA AJENDA YA DURADO NA JUMBE YA SERIKALI TATU HUIJUI .KUMBUKA HUYO MAALIM NA WENZAKE WALIKUWA PAMOJA NA HAO AKINA DORADO NA JUMBE KWENYE HII MOVE. Lakini kwa nini walitofautiana kwa mantiki ya hicho unachokiamini eti ni ubinafsi wa Maalim? na wala sio maslahi ya Zanzibar?

Nimekuomba utupatie ushahidi concrete huo uliotowa unapwaya.

Kama huna mwengine basi tufunge mjadala.
 
Umeogeaa point sana tatizo umeonesha interest zako mwshni
Umeharibu mantiki yakkk nzmaa
 
MAALIM NA WENZAKE WALIKUWA PAMOJA NA HAO AKINA RONALDO NA JUMBE KWENYE HII MOVE.
Naona bora nikuache tu kwa muelekeo wako kipofu wewe unamwita kengeza. Nimeshakwambia ushahidi wa mnyamwezi sina. Hoja hujibu unazunguka mbuyu tu. Wakata wa sakata hili Maali Seif alikuwa anafanya kazi Dodoma na wakati huo washachafuana na Jumbe na kumfukuza uwaziri. Nyerere alimchukua bara kwenye chama Dodoma akijua huyu kwa alivyo atamtumia tu siku moja.

Mimi nilikuwa sijui kuwa akna Messi na Ronaldo nao pia walishiriki
 
Twende taratibu bila jazba.

Nilisharekebisha nilikusudia DORADO na sio RONALDO WALA MESSI.

Tuwekee Maalim alifukuzwa lini na Jumbe na kwa sababu zipi.

Cha kushangaza Maalim na safu yote ya waliokuwa kwenye uongozi wameendelea na azma ya kuipigania Zanzibar bila Kuchoka licha ya kufanyiwa kila aina ya maudhi.

Endelea kutushawishi kwa hoja juu ya usaliti wa Maalim kwa Zanziba huu wa akina DORADO na Jumbe umepwaya seuze wa HAMAD RASHID na LIPUMBA kwa sasa.

Ukimchukia mtu mpe haki yake.

Maalim bado ni alama na nembo ya mapambano ya kweli kwa Zanzibar
 
Sikulazimishi kuamini vinginevyo, utanikumbuka, madhali mwana siasa huyu anatumikia mabwana wawili tutaendelea kutawaliwa na Tanganyika mpaka mbono!
 
Back
Top Bottom