Cuf Iliweza , bahati mbaya Slaa, Mbowe, Ndesamburo wakifungwa Chadema kusambaratika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf Iliweza , bahati mbaya Slaa, Mbowe, Ndesamburo wakifungwa Chadema kusambaratika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 15, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Kwa pamoja walifikishwa katika viwanja vya Mahakama Kuu majira ya 8:40 mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali, huku Dk Slaa, Mbowe na Ndesamburo wakiwa kwenye gari dogo aina ya Landrover.
  Watuhumiwa wengine walifikishwa mahakamani hapo kwa karandinga. Waliokuwa kwenye Karandinga hilo ni Selasini, Lema na washitakiwa wengine.

  Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Zakaria Elisante alidai mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Arusha Charles Magesa, kuwa watuhumiwa hao, wametenda kosa moja la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
  Elisante alisema kwa kufanya kosa hilo, watuhumiwa hao, wamevunja sheria namba 74 na 75 kifungu cha 16 kama ilivyofanyiwa marekebishoa mwaka 2002 na pia sheria ya polisi sura 45 kifungu cha 322 ambayo pia ilifanyiwa marekebisho mwaka 2002.

  wengine ni Goodluck Lema, Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini, Mbunge wa Moshi Mjini,


  Hebu tujikumbushe KWA upande wa Cuf
  wakati wa dk salmini

  Juma Duni Haji (Waziri wa Afya) na Hamad Masoud Hamad (Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano.)
  Makamu Mwenyekiti wa CUF, Machano Khamis Ali, ndugu wawili Abass Zam na Ali, Said Zam Ali, Pembe Ame Manja, Mohammed Ali Maalim, na Hamad Mmanga Khalfan.
  wengine ni Ramadhan Shamna Ali, Hamza Makame Omar, Nassor Seif Amour, Sharif Haji Dadi na wanawake wawili akiwemo Zeleikha Ahmed Mohammed na Zena Juma Mohammed
  Wengine ni aliyekuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Hamad Rashid Mohammed, Abdallah Said Abeid, Soud Yussuf Mgeni (marehemu) na Hassan Said Mbarouk (marehemu) waliofariki dunia mwaka jana.

  JUU YA MISUKO SUKO HIYO, BADO CUF ILIKUWA NA NGUVU NA HAIKUTETEREKA. JEE CHADEMA Mbowe, Ndesamburo wakifungwa Chadema kusambaratika?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Lipumba na Seif wamewahi onja harufu ya bomu la machozi?
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Wewe !!!!

  Uwezi fananisha freedom fighters, well educated peolpe and inspared leaders na hawa mazumbukuku Slaa na Mbowe,

  Lipumba anafaamika duniani alivyo strugle kwenye upinzani na umahiri wake wa kupambana na ccm pamoja na kuongoza CUF bila kutereruka,

  Na Malim Seif anaeleweka toka zamani ni kiboko ya Nyerere, ni kiongozi mwenye msimamo
   
 4. M

  Mwera JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kusubiri nakuona huwezi kujua kama itasambaratika au la?kweli CUF walihimili vishindo vikali vya kidikteta vilivyokua vinafanywa na dikteta salmin amur,ila hatutaraji serikali ya Kikwete kama itafanya udikteta kama wa salmin amur! Hata hivyo hatupaswi kudadisi sana kuhusu kesi yakina mbowe kwavile ipo mahakamani tuache mahakama ifanye kaziyake na tunataraji haki itatendeka.
   
 5. M

  Mwera JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lipumba aliwahi kuvunjwa mkono wakulia na polisi wakati akiongoza maandamano yakudai demokrasia yakweli jijin dar,au umesahau?
   
 6. P

  Percival Salama Senior Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Rudi darasani bado kichwa kina kutu kama hata historia kwako hadi udese
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,459
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Tuache unafiki, tunapozungumzia CHADEMA kuna watu wenye uelewa finyu wanafikiria labda ni kampuni binafsi ambayo mmiliki akifa inakuwa nayo imekufa, CHADEMA ni chama cha siasa, kina muundo wa uongozi ambao unapatikana kwa uchaguzi huru wa wanachama, kwa hiyo hata itokee wakapata ajali wakafa wote bado CHADEMA itaendelea kuwepo na harakati za kuikomboa Tanganyika zitaendelea kuwepo
   
Loading...