Mkuu unafikiri hawajui? Wanajua sana ila wanajitoa ufahamu tu. Si unajua tena siasa za Afrika. Halafu kuwekwa rekodi sawa: Lipumba alirudishwa na serikali kwa kutumia nguvu ya fedha. Huyu mzee ameshazoea fedha za bure. Zile alizohongwa wakati wa uchaguzi zimemnogea na ametamani utajiri zaidi. Wanasheria wote wanaomtetea husema wazi kabisa fedha zao zote wanalipwa na serikali.Ni mwendawazimu tu asiyekubali kuwa kujitoa kwa Lipumba na kurudi ofisini kwa nguvu ndiyo chanzo cha huu mgogoro.
Acheni unafiki.
Seif na Lipumba wakikaa siku moja tu yanaisha haya
Watu kama ninyi mnaendelea kuishi tu kwa sababu CCM iko madarakani...jinsi inavyoyatwaa hayo madaraka kwenu si hoja bali hoja kwenu ni mtawezaje kuendelea kuneemeka bila CCM. Hebu nikuulize swali moja tu Bwa'Nchuchu, je CCM inaweza kudumu bila serikali kama vyama vingine angalau vilivyoweza kudumu? Je mkutano wa CCM ungeweza kuvamiwa kama tunavyoshuhudia kwa vyama upinzani?CCM pamoja ubovu wake wote itatawala kwa muda mrefu sana nchi hii. Moja ya sababu ni kukosa upinzani ulio makini na ulio na mshikamano.
Unamjua Magdalena Sakaya?
Habibu Mnyaa?
Kambaya?
mbona hao wote wanamtambua Lipumba?
Watu kama ninyi mnaendelea kuishi tu kwa sababu CCM iko madarakani...jinsi inavyoyatwaa hayo madaraka kwenu si hoja bali hoja kwenu ni mtawezaje kuendelea kuneemeka bila CCM. Hebu nikuulize swali moja tu Bwa'Nchuchu, je CCM inaweza kudumu bila serikali kama vyama vingine angalau vilivyoweza kudumu? Je mkutano wa CCM ungeweza kuvamiwa kama tunavyoshuhudia kwa vyama upinzani?
Umeyaona yaliyowakuta Bashe, Msukuma, Nape (kwa kuwataja wachache waliojaribu kukosoa uongozi ndani ya CCM? Umemsikia tena Katibu Mkuu wa CCM tangu alipotoa maoni yake kuhusu uongozi wa juu ndani ya chama na serikali? Mnadharau upinzani lakini hamjui jitihada zao zinavyopigwa vita na vyombo vilivyotakiwa kuvilinda. Bila serikali CCM haiwezi kudumu hata kwa saa ishirini na nne...itasambaratika.
Mbowe na vijana wake ndio wanataka yasiishe haya ili wabaki wao kama chama dume cha upinzani na waendelee kutafuna ruzuku kwa raha zao,hilo Maalimu halioni kwani siku zinavyozidi kwenda Maalim anakuwa sawa na joka la Kibisa,hebu angalie hivi sasa kuna ukawa kweli?NLD imekufa na Makaidi wake,NCCR sijui imebaki Vunjo na Mbatia wake sijui kapotelea wapi siku hizi,CUF ndio imekuwa nusu mkate ,Chadema ndio wanazidi kuongeza kuni kwani vita vya panzi furaha ya kunguru chadema
Ni mwendawazimu tu asiyekubali kuwa kujitoa kwa Lipumba na kurudi ofisini kwa nguvu ndiyo chanzo cha huu mgogoro.
Acheni unafiki.
Kuna Vitu huwez kukaa ukasamee, ebu twambie nini nia ya lipumba kukiacha chama katika ile mda wa kampeni pamoja na kupigiwa magoti sana. Hivo unaweza kudharau nguvu ya lowasa katika ushindi wa SAKAYA.
Hivo ni kweli huoni ni namna gani Lipumba anatumika, Harafu eti wakae meza moja, ili iwe nini.
Exactly...
Unajua kuna mambo mengine si ya kuyaweka hadharani.
Hivi kwa mfano unadhani CCM huwa hawakosani? Wanakosana sana na kutofautiana lakini ni nadra sana kuona viongozi wao waandamizi wakikwazana hadharani.
Huwa wanayamaliza nyuma ya pazia huko.
Lakini hawa wapinzani....hahaaa....so disappointing.
Kuna kitu hakizungumzwi sana
ukweli ni kuwa CUF walikuwa na mgogoro wa chini chini wa siku nyingi
kuhusu CUF Zanzibar na CUF bara
UKAWA imetumka tu kuongeza mgogoro hasa kwa CUF bara
kuona CUF Zanzibar wanapora madaraka yoote
Lipumba kaona tu a loop hole la kuwa relevant na kupiga pesa
now kutoka CCM
Solution ni CUF Zanzibar wakubali tu kuwa kuna mgogoro
na wawe ready kuutatua..kuliko kudai tu ni Lipumba ndo mwenye matatizo
Lipumba anapataje support za hadi wabunge?au mtu kama Mnyaa?
tatizo la CUF linazidi kukua now lakini busara ikitumka linaweza kuisha
Sasa mbona hoja zako zina contradict, unasema mgogoro ni CUF Zanzibar na CUF bara. Kisha unasema Mnyaa anamuunga mkono Lipumba. Kwani Mnyaa ni CUF bara?Kuna kitu hakizungumzwi sana
ukweli ni kuwa CUF walikuwa na mgogoro wa chini chini wa siku nyingi
kuhusu CUF Zanzibar na CUF bara
UKAWA imetumka tu kuongeza mgogoro hasa kwa CUF bara
kuona CUF Zanzibar wanapora madaraka yoote
Lipumba kaona tu a loop hole la kuwa relevant na kupiga pesa
now kutoka CCM
Solution ni CUF Zanzibar wakubali tu kuwa kuna mgogoro
na wawe ready kuutatua..kuliko kudai tu ni Lipumba ndo mwenye matatizo
Lipumba anapataje support za hadi wabunge?au mtu kama Mnyaa?
tatizo la CUF linazidi kukua now lakini busara ikitumka linaweza kuisha
Kabisa...si viongozi si wafuasi!
Ukiwekeza matumaini yako kwao basi jua unaji set up kwa major disappointment.
Na ukitaka ujue wapo kimaslahi binafsi...angalia mafao yao wabunge pindi wamalizapo mihula yao.
Huwa wanachukua si chini ya milioni 200 na kamwe huwa husikii wakishikia bango matumizi ya kiasi hicho cha fedha za walipa kodi huku kuna watumishi wa umma waliohenyeka miaka 30 kulitumikia taifa na hawapati kiasi kama hicho pindi wanapostaafu.
CCM pamoja ubovu wake wote itatawala kwa muda mrefu sana nchi hii. Moja ya sababu ni kukosa upinzani ulio makini na ulio na mshikamano.
mkuu ulipotelea wapi? Kwasabab ni muda kuona michango yako humuSiasa za Tanzania zinatia kinyaa.
Bila Ukawa, CUF ingekuwa juu ya mawe sahivi.