Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,242
Ipo sababu nyingine tofauti na "UDINI" iliyo
sababisha CUF isi simamishe mgombea Arumeru Mashariki?
Kama ni ukata mbona CUF imeweza kusimamisha mtu katika
kiti cha udiwani Tanga na wakashinda?
Kuna haja ya kuwa na vyama vinavyo wagawa Watanzania kwa
misingi ya dini zao?
Huku sio kupandisha chuki?
"Kwamba kwa kuwa wameru wengi dini flani,na sisi mizizi yetu
ni dini flani basi hatuwezi kuwa wakilisha?"
Kama dini ndio ilikuwa sababu ya kuto simamisha mgombea Arumeru,basi
CUF ifutwe,kama sio,waseme kwanini.