Cuf haihusiki lolote na uamsho : Dk shein

Cuf haihusiki lolote na uamsho : Dk shein

Za mbayuwayu changanya na zako vinginevyo utaachwa ferry.
Habari toka chini ya kapeti ni kuwa CUF ya Zanzibar ndiyo Uamusho
na Uamusho ya Zanzibar ndiyo CUF.
Kwenye mikutano yote ya CUF utakutana na sura zote za wanauamusho
na kwenye mihadhara yote ya wanaUamusho utakutana na sura zote za
CUF. Wapemba 99% hawautaki muungano na wala hawawapendi wabara.
Ila Waunguja 99% wanautaka muungano na wanawapenda sana wabara.

So this Dude ni wapemba at work.

Huo utafiti wako utakuwa chini ya Synovate au Redet ya Prof.Mukandala maana hizo asilimia zinafanana na za wanamtandao!
 
Back
Top Bottom