Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa
mkuu unanifurahisha saaana kwani hujui kuwa muungano ni kimeo!kwahiyo unasemaje ndugu wa kafu ....
kwahiyo unasemaje ndugu wa KAFU ....
Yeah ni chama chenye mrengo fulani!
chama feki ni chama chochote kinacho amsha hisia zilizolala kwa kudhani eti kupitia vurungu hizo ndo upate madaraka. na hao viongozi wa chama ukiangalia cv zao unakuta zimechafuka.
babu chama chenye mlengo fulani unakijua kwa dhati, chama ambacho hata move za maandamano hupewa baraka na viongozi wanaojiita wa kiroho

asante kwa upupu usio na reference ya chama chochote, kiongozi yeyote wala nchi husika .... hapa ni JF bana hakuna mipasho kama bungeni bandika post yenye vithibitisho au challenge kwa mifano hai..... nafsi yako inajiridhisha kabisa kwamba nawe umepost kitu
Yeah hata matamko yao hutokea siku za Ijumaa! Imams huongoza
Rev,
Umeenda mbali sana mkuu, tambua unaheshimika jamvini mkuu.
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa
are you a born again at JF or a new member .... mbona unavimajungu majungu hivi ..... wala sikuelewi..! lol