CUF, chama chenye sura ya muungano 100%

CUF, chama chenye sura ya muungano 100%

kawaida ya upupu humuwasha aliyeuchezea. Pole sana kwa kuwashwa. And 4dat real u knw the truth. Siasa za mihemuko tuachane nazo zitaipeleka Tz tusipopahitaji.

stereotype
 
Bara CUF ipo TMK, Lindi, Mtwara, Tunduru, Tanga, Kondoa na Tabora basi. Halafu unasemaje 100%
 
chama feki ni chama chochote kinacho amsha hisia zilizolala kwa kudhani eti kupitia vurungu hizo ndo upate madaraka. na hao viongozi wa chama ukiangalia cv zao unakuta zimechafuka.

CV ya nani imechafuka? Nani kaichafua? Hamad Rashid unaweza kumlinganisha na nani ktk kujenga hoja na umakini? Dr Slaa na Makamba, nani anaweza kuvaa viatu vya Maalim Seif? Mbowe na Tundu Lissu na Chiligati hata wafanyajehawawezi kumfikia Juma Duni ktk umakini.
 
Ha ha ha unanikumbusha habari za kichugu na mlima, halafu baada ya kugaragazwa unaenda kukabidhi ilani na kumpongeza aliyekuibia. Akili ni nywele
 
CV ya nani imechafuka? Nani kaichafua? Hamad Rashid unaweza kumlinganisha na nani ktk kujenga hoja na umakini? Dr Slaa na Makamba, nani anaweza kuvaa viatu vya Maalim Seif? Mbowe na Tundu Lissu na Chiligati hata wafanyajehawawezi kumfikia Juma Duni ktk umakini.

Mbavu za Nguruwe ... una akili sana
 
Bara CUF ipo TMK, Lindi, Mtwara, Tunduru, Tanga, Kondoa na Tabora basi. Halafu unasemaje 100%

Nina wasiwasi na capacity yako ya uelewa. Sijasema CUF ina wengi kila mkoa au wilaya. Nilichosema ni kuwa CUF inakubalika kila upande kwa kuwa kila eneo la muungano ina wawakilishi wa kuchaguliwa. Nimekuweka ktk orodha ya wagumu kuelewa
 
kawaida ya upupu humuwasha aliyeuchezea. Pole sana kwa kuwashwa. And 4dat real u knw the truth. Siasa za mihemuko tuachane nazo zitaipeleka Tz tusipopahitaji

I thought u-hypocrisy ndo utakao ipeleka TZ tusipokuhitaji., Kijana kasi unayokuja nayo sio Nzuri, MS-series wengi sana na walishapita humu n they were gud kwa unafiki ever but hawapo leo. So behave as long as u ar stil mwali. %$#%^&%&nzy
 
Mbimbinho hamjui MS huyo ... wala hamjui Mwiba na Zomba ..... mwache ahangaike na JF
 
Jamani tukumbe maadili yetu...si vizuri kumsifia ama kumjadili mke wa mtu!!
 
Back
Top Bottom