Hivi kafu kumbe ipo?
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa!!Badala ya kunadi sera zao,wao wanashambulia CDM!
Arusha ishachukuliwa na wenyewe wao wakajipange upya!!!
it is VIBARAKA 4CCMV4C = Vibaraka 4 Change? Ha ha ha ha! Ngoma inogile.
Nipo viwanja vya Sombetini hapa Arusha mkutano umedoda hakuna watu wameamua kuahirisha mkutano.
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa!!Badala ya kunadi sera zao,wao wanashambulia CDM!
Arusha ishachukuliwa na wenyewe wao wakajipange upya!!!
mkuu kwa kuwa nyie mnafanyia kampeni zenu mmakanisani basi unadhani ni vyama vyote?hebu jiulize kwann huko kuna wachungaji wengi
Maneno magumu hayo, vipi wakina mama walihudhuria mkutano huo? pia mzungumzaji shule inawezekana ikawa ndogo.. cuf ina safari ndefu sana, time will tell themWakati kiongozi yule anapospond mkutano "alisema kuna cheap politics eti CUF tumefunga ndoa na CCM ila wakae wakijua CUF ndio mume na CCM ni wake zetu na sisi ndio tunawalala".Mie sikushangaa hayo maneno ya kwenye kanga sababu jamaa ana tonation yakizenji kwa hyo kule ndio industry ya mipasho
aTuwekee walau picha.
mkuu mbona aliongea matusi?, so anadhani wao (kafu) kumlala sisiem ndo ufahari? so yy anataka waambiwe wamemwoa ssm?Wakati kiongozi yule anapospond mkutano "alisema kuna cheap politics eti CUF tumefunga ndoa na CCM ila wakae wakijua CUF ndio mume na CCM ni wake zetu na sisi ndio tunawalala".
Mie sikushangaa hayo maneno ya kwenye kanga sababu jamaa ana tonation yakizenji kwa hyo kule ndio industry ya mipasho
Mkuu mleta mada; ni mkutano wa level gani? Ndio zile V4C zao zimeanza? Ilikuwa uhutubiwe na nani? Ni Prof. a.k.a the Sultan au? Hawa jamaa wa ajabu sana; hawajui vikielea vimeundwa tena na bongo zinazochemka. Poleni CUF.
mkuu ni kweli kabisa ,cuf haijawahi kuwa serious na mbaya zaidi inatumika kuzorotesha maendeleo.
View attachment 65861
Hivi Jk anawapa nini hawa viongozi wa vyama vya siasa kila anayekutana naye lazima acheke kwa bashasha.