Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,894
HAPA KATI MH TRUMP ALISEMA BAADA YA IRAN KITUO KINACHOFWATA
CUBA
SASA RAIS MIGUEL KAONA ISIWE TABUU
HERI...NUSI SHARI KULIKO SHARI ZIMA
KITUO KINACHOFWATA KIMEGOMA
UNAHISI NANI ANAFWATA ??CUBA KACHOMOA BETRI
"""
Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa tangazo la kushtua kupitia televisheni ya taifa akibainisha kuwa serikali yake imekubali kuanza mazungumzo na Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, hatua hii inatajwa kuwa ni matokeo ya shinikizo kubwa ambalo nchi hiyo imekuwa ikikabiliana nalo, jambo lililopelekea Cuba kubadili mwelekeo wake wa kidiplomasia ili kunusuru hali ya mambo nchini humo.
Mabadiliko haya makubwa katika sera za kigeni za Cuba yanaashiria kuanza kwa sura mpya ya mahusiano kati ya mataifa hayo mawili ambayo yamekuwa na mivutano ya muda mrefu, ingawa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo bado hayajawekwa wazi, mazungumzo haya yanatarajiwa kuangazia masuala mtambuka ya kiuchumi na kisiasa, huku jumuiya ya kimataifa ikifuatilia kwa karibu kuona jinsi utawala wa Trump utakavyopokea hatua hiyo ya Havana.
Ikumbukwe siku za nyuma Trump alisema baada ya Iran Kituo kinachofuata ni Cuba anaweza kuichukua kirafiki au Kimabavu, Sasa miguel ameona atupe taulo tu bado anautaka urais wa Cuba😁