Wewe acha kujifanya hamnazo, Tanzanis Daima ni UHURU la CDM na sasa limechoka mbaya! Yaani limechuja kupita maelezo!Aliyekuambia Tanzania Daima ni la CDM kakudangany. Kama unajua kupima habari angalia habari inazoandika Tanzania Daima zinazohusu CDM, na habari inazoandika Uhuru zinazohusu CCM, kama huko kishabiki utaona tofauti kubwa. Hakuna siku Uhuru inaweza andika habari za CCM zenye mtazamo hasi, lakini Tanzania Daima linaandika habari za CDM hata zikiwa hazitakiwi na Wana CDM.
<br />Chama cha demokrasia na maendeleo chadema.kimepanga mikakati mikubwa ya kufungua kituo cha matangazo ktk television.wadau mnaombwa kutoa maoni ya kupendekeza jina la kituo. Je unataka kiitwaje?
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?
Wewe acha kujifanya hamnazo, Tanzanis Daima ni UHURU la CDM na sasa limechoka mbaya! Yaani limechuja kupita maelezo!
<br />Ungeanza na redio tungeona uko serious maana hiyo haihitaji uwekezaji mkubwa, hayo ya CTV yangefua baadae. Au kama vipi tengeneza ya kwenye internet watu waone online.
Masaburi unavituko wewe...Josephine Mushumbusi Slaa Television JMS TV
Jamii TV, yaani Televisheni ya jamiiJosephine Mushumbusi Slaa Television JMS TV
Mbona unaleta utani? Magamba bwana, kaaazi kweli kweli!Josephine Mushumbusi Slaa Television JMS TV
unapunguza siku za kuishi na hicho kisokolokwinyo chako.Mods kumekuwa na thread zaidi ya 3 zinazohusu Chadema tv lakini hamjaziunganisha. Au kwasababu haziipondi Chadema?