Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 815
Utachangia kiasi gani cha pesa?
wangetumia hata ile njia ya sms ...watu tungechangia tu ili mradi mambo ya michango na matumizi yawe transparent.Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni mikakati yenu jamani.
<br />Kikipigwa kipenga tu, sie wajanja tutakuwa tayari tumeshachangia tv makini ya chama makini. Big up Chama Dume, Chadema.
Gazeti lenu la TZ Daima limeshindwa kuwa gazeti lenye mvuto, hebu angalia hata jf post from newspapers uone ngapi ni za hilo gazeti pamoja na jf kuwa na pro-CDM wengi.
Kwenye website yao habari zinabadilishwa after 3days
I tell u kama mtataka TV yenu ifanikiwe punguzeni propaganda za ki-CDM, la itabakia TV jina tu.
Zitto mwenyewe ile habari yake ya meli znz hakutuma TZ daima, wala JF, jiulize kwa nini?