CTI kununua DOWANS- Makamba Jr.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini Mh J. Makamba ameripoti kuwa CTI wameonesha nia ya kununua mitambo ya dowans baada ya serikali kupata kigugumizi kununua mitambo hiyo. SOURCe: mwananchi.

MY TAKE: mmiliki wa Dowans ni mtu very strong kiasi kwamba serikali ina msaidia kuhakikisha kuwa anaendelea kufaidi tax payer's money
 
Januari ndio dalali wa hiyo mitambo.....utashangaa wanasema wameinunua geresha tu...bado hela inaendelea kwenda RA......
 
Kuna haja ya kuweka wazi kwa sisi wenye nchi ToR/Job Description ya Waziri wa Nishati & Madini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini VS Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini na Msemaji wa DOWANS

I am confused and totally lost!
 
Hivi huyu dogo amekuwa msemaji wa dowans? kama wameamua kuuza yeye inamhusu nini?
Hata ikiuzwa hatuitaki tena hiyo mitambo yao na hatutaki biashara na yeyote atakayenunua kwani imekwishalaaniwa hiyo.Msitufanye watz mafala kwa kutubadilishia mvinyo kwenye chupa ya zamani.
 
Ndio kazi tuliyomtuma? Mbona hazungumzii suala za bei ya mafuta kupanda? Au hii kamati ni ya DOWANS tuu?
 
Ndugu zanguni issue na Dowans inasemekana ni CCM Kulipa fadhila za uchaguzi mkuu 2005! Ccm ilingia mkataba na Mh Rostum Aziz (MP) Igunga kuwezesha Ccm kifedha ili tu itakapo shika hatam za uongozi basi Rostam ndiye atakayepewe tenda kubwa kubwa za Serikali!
Ilivyotokea issue ya kufua umeme wa dharura Mh Rostam aliibuka kidedea cha uzabuni japo hakukithi vigezo muhimu kwa kushrikia na Serikali ya Nkwere! Compuni iliitwa Richmond, iliyopelekea Lowasa na wezake kujiuzulu! Kama haitoshi Ikabadilishwa jina na Kuitwa Dowans, inayosubiria kulipwa 94 biln kodi za watanzania!

Hiv serikali ya Nkwere kila m2 ni kilaza mpaka Wasajili wa makampuni? Kwa hyo kelele za Wanassiem mitambo kununuliwa pengine na kulipa deni ni kwa maslahi ya chama!
 
Back
Top Bottom