K K007 Member Joined Jan 30, 2011 Posts 52 Reaction score 3 May 28, 2011 #1 Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx
Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,444 May 28, 2011 #2 K007 said: Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx Click to expand... Unaitafuta wapi umeikosa mkuu? Maduka yote ya kkoo umeksaa? teh teh Hata hapa umekosa CRY_FREEDOM (download torrent) - TPB Au tatizo ni bandwidth na network? Maana hiyo movie DVD nsize yake ni 4 GB kama network si nzuri usihangaike kupauahil file juu itakuchukua zaidi ya siku tano.
K007 said: Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx Click to expand... Unaitafuta wapi umeikosa mkuu? Maduka yote ya kkoo umeksaa? teh teh Hata hapa umekosa CRY_FREEDOM (download torrent) - TPB Au tatizo ni bandwidth na network? Maana hiyo movie DVD nsize yake ni 4 GB kama network si nzuri usihangaike kupauahil file juu itakuchukua zaidi ya siku tano.
Uncle Rukus JF-Expert Member Joined Jun 16, 2010 Posts 2,415 Reaction score 398 May 28, 2011 #3 K007 said: Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx Click to expand... Download hii software Vuze: The most powerful bittorrent app on earth. ikimaliza kudownload vuze i-install kwenye computer yako na baada ya hapo Download hii movie hapa Cry Freedom Apartheid Steve Bantu Biko Torrent - btjunkie baada ya kudownload file la torrent lifungue na litafungukia kwenye vuze moja kwa moja na utaanza kudownload movie yako
K007 said: Wana jamii nimejitahidi sana kutafuta hii movie "Cry Freedom" ya Steven Bicko nimeshindwa, mwenye kuweza kunisaidia site ya kupata anisaidie Thanx Click to expand... Download hii software Vuze: The most powerful bittorrent app on earth. ikimaliza kudownload vuze i-install kwenye computer yako na baada ya hapo Download hii movie hapa Cry Freedom Apartheid Steve Bantu Biko Torrent - btjunkie baada ya kudownload file la torrent lifungue na litafungukia kwenye vuze moja kwa moja na utaanza kudownload movie yako