afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,260
- 2,689
lazima acheat maana alimpenda sana jamaa...na wee ulifanya kutake advantage tu ya mifarakano yaoNilichokuja gundua wife ananicheat. Na ananicheat kwa mtu mmoja tu, naye ni yule yule jamaa yake aliyemuacha na mimi kumuoa.