Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

Siku hii kilichonishangaza wife alitumia uber. Bila shaka nikathibitisha wife ananicheat, na ananicheat kwa mtu ambaye yule yule niliyemdhania miaka mingi.
KWA HIYO YA KWANZA NA YA PILI UKAVUNGA HUTAKI KUAMINI AU KUTHIBITISHA ...ETI YA TATU NDIO UKAAMINI..WEWE UMELOGWA SIJUI KUPENDA GANI HUKO
 
Hakuna kitu kinachoma kama ukute sms ya wife anamsifia Jamaa kama anamgegeda vizuri na kwamba hajawahi toshelezwa kiasi hicho na Mwanaume yoyote!


Usipotuliza Akili unaweza jikuta unatafuta vumbi la Congo hivi hivi

Yaani unapoteza confidence kwenye sex kabisa

Pole sana kaka
Ila huyo mkuu aliyataka mwenyewe, kampora huko na kajua kabisa mahusiano ya huko yalivunjika sababu ya usariti naye kayarudia yale yale labda alijua sababu ya kumbeba katka dini yake, hivyo ayamalize tu muosha naye huoshwa
 
Ninachoomba kujua ni kuwa nitafanya vipi ili aachane na jamaa
ALIMPENDA JAMAA KABLA YA WEWE..SEX FANTACY CRAZY SEX NAUGHTY HIZO ZOTE NDIO MAANA KACHANGANYIKIWA KWA JAMAA SASA UNAANZAJE KUMFANYA AACHANE NA JAMAA....LABDA AJUE UNAJUA NA USISHANGAE AKAKUKATAA AKAENDA KWA JAMAA.TATIZO USHAONESHA WEAKNESS WE USHASUBMIT KWA WIFE...MAANA YOTE ALIYOFANYA HUNA UJASIRI WA KUMFACE..UNAOGOPA....HAPO ENDELEA KULIA TU HUNA MAAMAUZI YA KIUME..NA USHAFELI TANGU MWANZO..ULIMZALISHA TU NA YEYE KAMA MWANAMKE ALITAKA NDOA..ILA ANAYEPENDWA NI JAMAA...KUWA MPOLE TU
 
Mkuu jiulize nini hasa tatizo mpaka wife amebadilika kiasi hicho wakati zamani alikupenda!( tatua chanzo usitatue matokeo)
HAKUMPENDA ILA ALIKUWA DESPERATE ALIVURUGWA SO AKAWA ANAHITAJI FARAJA AKAIPTA AKWA JAMAA NDIO WAKAOANA NA KUZAA...ILA SIO KWAMBA ALIPENDWA..WIFE ALIMPENDA JAMAA YAKE YULE WA ZAMANI TU.....WE MTU A=HADI ANAOMNGELEA THREESOME..KASHAPAGAWA TANGU ZAMANI...JAMAA KAOA NDOA NDOANO
 
Nikwambie ukweli tu wewe ndo una makosa umeiba na kuoa mke wa jamaa, kiuhalisia mkeo hawezi kumwacha huyo jamaa kwa sababu anamridhisha. Wewe ndo ujilaumu kuharibu mapenzi yao ili ujipatie faida ya kumwoa binti. But utapata tabu sana huyo ni mke wa Mwanasheria, na umeoa mke wa mtu
 
Sijui nianzie wapi? You are 31 right? Mbona wewe ni kijana mdogo sana brother, kwa nini ulie kwenye mapenzi?
USHAURI: Achana naye chap. Wengi wametoa ushauri mzuri sana kwenye huu uzi wako. Kifupi, the way you two met was ungodly one. You took advantage of her as you say when she was desperately and heart broken by her lover. Narudia tena, ACHANA NAYE, ACHANA NAYE. Na baada ya hapo take time for the wound to heal don't rush into another relationship. You are still very young brother. Nyote wawili mmetenda dhambi somewhere katika mahusiano yenu lakini msiogope hakika Mungu ni mwema kila wakati na ndio asili yake atasamehe mkimrudia. Hicho ulichokifanya na hasa hiki pia ambacho mwenzako anafanya hapo hamna penzi tena. She never loved you, she was just infatuated.., come on! She is crazy I would say, yaani anajua kabisa huyo ex wake ana wanawake wengi na bado tu anamng'ang'ania jamaa. Du! Kweli mapenzi ni majinga sana. Zamani nilidhani hasa baadhi ya watu maarufu tu na wenye mali zao hapa nchini sitotaja majina yao waliachana na wake zao niliwachukulia wakosaji sana. Lakini baada ya kuyajua magumu yaliyopo kwenye ndoa sasa najua. Please, take action.
 
hakuna kuoa , demu wa mtu i mean ambaye ashaliwa, bikira ntasaka hata kwa tochi , nikikosa hakuna kuoa kabisa, ukute mshkaji ndo alibikiri back n front 😂😂😭😭😭 hapo lazima aipeleke, kwa maelezo yako dah mkeo anampenda sana jamaaa pole
 
Hello guys!

Kama unasoma ujumbe huu naomba nikushukuru kwa kupoteza muda wa kusoma nyuzi zingine na kujua ni kipi hasa ninahitaji unishauri. Nitaanzia mbali kidogo ili upate mtiririko mzuri wa matukio na nitajaribu kuweka kila detail ya msingi ili ukiweza kunishauri, unishauri vyema. Yawezekana niko desperate kiasi cha kuonekana kuwa nauliza ushauri kwa ajabu ambalo ni la kawaida katika jamii.

Mimi ni mwanaume wa miaka 31 ni mzaliwa na mkazi wa mkoa wa DSM. Nimeoa na mke wangu ana mtoto mmoja. Ni mtumishi wa umma katika 'ofisi kuu' ya Nchi yetu.

....ilipoanzia....

Miaka mi4 iliyopita nilifahamiana na binti mmoja(wife) yeye akiwa ni mtumishi katika ofisi moja ya 'uchunguzi' HQ. Frankly nilimoenda sana at glance na hadi leo nikiri ninampenda sana, sina hakika kama niko tayari kumpoteza. Nikaanza kumfuatilia na kugundua yuko kwenye relation na jamaa mmoja ambaye ni mwanafunzi wa law SAUT mwanza, na binti alikua deadly in love with the guy ambaye wamekaa for almost 3 years back then since wakiwa High school. Jamaa anatoka mkoa mmoja na binti(lake zone). Hivyo nikaona ugumu ulipo kumpata. Nikaendelea na hustle za kumfuatilia ili nijue vita ikoje, nikichukua advantage kuwa binti niko naye dar na jamaa yuko huko mwanza. Nikaja gundua pia jamaa angalau twice per month huwa anakuja dar kwa binti na alikua akifikia nyumbani kwa binti ambapo wanaishi na sista yake. Pia nikaja gundua financially jamaa hakua vibaya sana (though hakunizidi) kwani mzee wake alikua ni 'kigogo' wa council moja huko kusini, na alikua akisimamia projects kadhaa za ujenzi za mzee wake hapo Mwanza, pia alikua na mkopo chuoni. sources ziliniambia jamaa alikua akimpiga tafu binti kwa issues nyingi kama house rent kidogo, issues mbili tatu za kimaisha. Nikagundua pia binti alikua akimumini sana jamaa, ingawa jamaa alikua ni player wa siri sana na mtu wa pombe sana... nilihisi kushindwa pambano....

...2015 march nipata info kuwa jamaa ameenda weekend kuspend uganda na ameondoka na rafiki yake na madem wawili bila kumuambia binti. Nikafanya makeke taarifa zikamfikia binti. Hapa binti akaanza kuloose trust na jamaa. To me ilikua ni point tatu. Aliporudi Uganda jamaa akaja dar, kisha binti akagundua messages za mapenzi na dem mmoja wa jamaa.. sikujua what happened next.

....few days later nikapata taarifa binti yuko frastruated na anaumwa baada ya kugundua nasty things za jamaa yake. I took advantage na nikawa close na binti nikamcare sana....siku moja tuko naye jamaa kapiga dem akamjibu dry kuwa yuko namimi hawezi ongea na simu. I told myself that im about to win... Nikawa close na binti finally nikamtia mimba na punde nikatangaza ndoa, binti aka convert kufuata dini yangu and we married. from then hakua binti tena bali wife and she gave me baby girl.....Thanks God shem zangu hawakua na shida na Mimi wala mama mkwe wangu 2015-2017 things were cool na nilijiridhisha kuwa binti hakua na mawasiliano na binti...

bahati mbaya tuliingia kwenye quarrels kadhaa baada ya kunigundua red handed mara kadhaa kuwa nina mcheat. We peacefully solved shida zetu...

But i started kunote tofauti fulani fulani. Wife hakutaka tena nishike simu yake on ground kuwa mimi sitaki ashike yangu. Mwaka huu mwanzoni nikakuta namba fulani imempigia, nikampigia na nikapokelewa na mwanaume, nikamwambia mpigie fulani (wife) alikua anakutafuta, jamaa akanijibu yeye anayo namba yangu kwanini asinipigie mwenyewe. Nikakata simu.

baada ya wiki kadhaa, nikaona namba ya jamaa imeweka d.p picha ya wife kilichonistua ni kuwa that pic sikuwahi iona..it was like my wife selfied herself and sent a pic straight to the guy. Nikachat na jamaa na kumtumia picha za wife zingine na kumuambia... weka na hizo profile....but hakunijibu chochote cha kumfanya nione kuwa wako naye kimahusiano. Jamaa alikua smart sana kwenye majibu yake akiavoid kuwa caught, nikampigia simu wife kumlalamikia kuwa kwanini mtu anaweka picha zako dp. wife akaniambia mimi ndio nina makosa zaidi na kama ningekua namuheshimu nisingemtumia picha zake zingine. Nikawa mpole i deleted those pic i sent to the guy...
some few minutes dp ya jamaa ikabadilishwa na kuwekwa pic ya dem mwingine. Namba nikainote kuicheck mpesa ina jina la kike. Nikachukua jukumu la kutrace msgs za jamaa using my position, sikuona kitu cha maana chochote zaidi ya salam. Na kuna mgs za kushukuru wife ametumiwa pesa na jamaa. Nothing shocking i noticed. Baada ya kama mwezj ile namba haikuwa hewani tena..

.....shida kubwa ikaja hapa miezi kama miwili imepita.....

as u all know public offices zinahamia dom, na mimi niko huku almost 4 months now. Nilichokuja gundua wife ananicheat. Na ananicheat kwa mtu mmoja tu, naye ni yule yule jamaa yake aliyemuacha na mimi kumuoa.

kama wiki 3 zilizopita, jamaa yangu alinitaarifu kuwa shem nimemuona lodge fulani magomeni kwa nje its like anampigia simu mtu, bahati mbaya hakujua kinachoendela sababu alikua kwenye shughuli za kiofisi. Kumpigia simu wife kumuuliza alipo, akajibu yuko ofisini. Nikamuuliza informer wangu pale ofisini kwake, akanijibu yeye hayupo ingawa gari yake ipo. i took it easy. Siku 4 baadae nikarudi dar, sikunotice shida yoyote kwa wife. nikaka kama wiki 1 pale dar nikifanya upelelezi wangu pale lodge aliyofikia. Nikipata msaada wa binti mmoja nikaonyeshwa Cctv footage ya ile hotel. Niliumia sana niliyoyaona. wife amefika pale mara tatu. Ya kwanza ndio ile aliyoonwa na jamaa yangu, second one ilikua saa 11 asubuhi na kutoka saa 3. Nikajiuliza ina maana siku hiyo hakwenda kazini. nikafuatilia na kugundua siku hiyo alitoka nyumbani saa 11 na kisha kureport kazini saa 3. What hurted me the most ni mara ya tatu... Hii ilitokea a day before, nami nikiwepo. Siku hii nakumbuka nilimuaga wife naenda town kurekebisha gari by saa 10 jioni nitakua nimerudi, mida hiyo ni saa 6. Nikiwa garage wife alinipigia sim kuwa atatoka for almost 2 hours ana issue kazini, nikamuambia poa. footage ilinionyesha kuwa aliingia pale saa 7 na ilimuonyesha akitoka saa 9 na robo. alitoka akiwa anasindikizwa na jamaa kavaa vest na boxer tu kutoka floor ya 3 hadi ground floor na jamaa akarudi. Siku hii kilichonishangaza wife alitumia uber. Bila shaka nikathibitisha wife ananicheat, na ananicheat kwa mtu ambaye yule yule niliyemdhania miaka mingi..

But nature i dont take quick judgement. Nilijipa muda wa kutafakari na kujua how deep wako na huyo jamaa this time around.

Nikafanikisha kupata namba ya jamaa. kwanza imesajiliwa kwa jina la kike.

nikagundua wana chat zaidi whatsapp hii sikuweza kung'amua kipi ni kipi. Ikabidi nicheck text messages. niliyoyakuta, hurted me the most.

1. wife na jamaa walikua wakikumbushiana ni jinsi gani walivyokua wana enjoy sex. Kila mmoja akimsifia mwenzake kuwa yuko vizuri. Lakini wife ndiye aliyekua akimsifia zaidi jamaa kuwa ni mwanume pekee anayemjua vyema na kipi cha kufanya kuwa the guy knows how to satisfy a woman. This pained me much

2. walikuwa wanazungumzia sexual fantasies zao. kila mmoja akimwambia kipi wanatamani wafanyiane. hapa paliniumiza sana, kwani wife alimuambia jamaa wakikutana atampa vyote anavyotamani na ambavyo hawakuvifanya. wife pia amemuambia jamaa they have to arrange for threesome na jamaa amekua tasked atafute dem ambaye anamuona anafaa and they guy promised to work on it.

3. wife na jamaa wanasaidiana mambo mengi hasa financially, mfano jamaa alimuongezea wife 1 M ya kununua kiwanja huko kwao, pia jamaa alimnunulia sim wife, ambayo nilijua kwa kazi yake wife simu kununua sio issue kubwa. na vitu vidogo vidogo vingi jamaa anafinance wife. Pia maza wake na wife jamaa ana msupport sana as wanaishi the same town. wife anakiri kwa jamaa kuwa yeye ndiye mwanaume pekee ambaye yuko free sana kumuambia chochote na akamsikiliza.

4. hakuna point hata moja niliyonote kuwa walishawahi kunizunguzmia, hilj linanipa shida sana. je wife hajamwambia jamaa kuwa hajaolewa? au jamaa

Guys, nimenote mengine sana, ingawa naamini kuwa mengi zaidi yapo kwenye whatsapp. nikiwa na wife, i never doubted wala openly noticing kuwa ananicheat, sim yake yuko free nayo muda mwingi na usiku hata nikiwa naye haipigiwi.. mimi ni as a man i know how hard it is to cheat na kuficha, hivyo i trusted wife 100%.


I deeply seek a wise advice from you guys on basisi kuwa siko tayari kumuacha wife, najua kiasi gani ninavyompenda, i believe she loves me, na she respects me sana, anaihandle family yangu vizuri na mtoto also family businesses.

Ninachoomba kujua ni kuwa nitafanya vipi ili aachane na jamaa, huu ndio mtihani mkubwa kwani it seems wife ni sex addicts kwa jamaa, mwezi huu ana likizo ya kwenda kwao, na jajamaa yuko the same town wife ndiyo kwao, je nimzuie asiende?... niko njia panda.. sijamuambia wife chochote na hajanotice chochote kuwa najua nini kinaendelea.. thanks guys kwa time yenu, nitashukuru kupata ushauri wenu.. Na ninaahidi kuufanyia kazi.

NOTE:KULINDA HESHIMA YANGU, KAZI YANGU I HAD TO COME WITH THIS ID
Kama una roho nyepesi,unaweza uka m "Jamal khashogi" mtu
 
Pili jitahidi utengeze ukaribu naye sana, sababu inaelekea wife wako wamekaa muda mrefu tangu utoto na jamaa hivyo wamezoeana sana. Ukiwa na ukaribu naye atatengeneza mazingira ya kuwa huru sana kwako. kama ulivyosema jamaa anamuhudumia vitu vidogo vidogo na yuk

mkuu hata mie naona hii sehemu ya msingi, maana huo mchepuko wa wife mpaka kwa mamake wife inaonekana anafahamika na pengine ana support fulani pia, ambayo ni hatari pia.
 
Hili ni tatizo katika ndoa nyingi sana, wanawake wengi wameolewa na watu wasiowafeel Kwa sababu ya circumstances tu, nyingi ni financial driven.
Wanaume wengi tumeshindwa kuoa wale tuliokuwa nao Kwa sababu ya financial muscles, wakati Wewe unajukusanya anatokea mwenzako ameshajikusanya anachukua, na Wewe unajikusanya unaenda kuchukua Kwa mwenzako. It is the same trend every where, hili nimekuwa nikiliongea mila siku.
Wengi tumeoa wanawake wakati tuna afadhali kidogo kiuchumi.
Unakuwa na mdada chuoni, mnamaliza unakuwa jobless for more than one year,na ukipata kazi una mwaka wa kujipanga, ni wanawake wachache wanaweza kujizuia kwenda sehemu nyingine. Eti anakusubiri.
Kwa hivyo suluhisho ni kuongea black and white, ili kujua kinachofuata. Worst case scenarios, kuna wanawake waliachana na watu by circumstances tu na bado wanawafeel kupita kiasi na jamaa baada ya muda huwa nao pia wako level nzuri kiuchumi, Kwa hiyo Wewe mporaji na mume halali unakuwa kwenye wakati mgumu. Hili Hii ikitokea, kubaliana na matokeo tu, trust me, mwanamke anafanya chochote sehemu ambayo amekufa, regardless of any situation (Hata kama ameolewa).
Kulingana na hadithi ya mtoa mada alimtoa mke wake kwenye mahusiano na mtu anayempenda, alitumia nguvu nyingi kuwaachanicha bidada na Ben hatimaye akafanikiwa akamuoa. Baadae penzi la bidada likarudi kwa Ben. Kwahiyo tatizo ni yeye mwenyewe asitusumbue
 
"Kama hautaki aende kiuhalisia unaunga mkono anachokifanya andaa mazingira mazuri taratibu yakumuuacha vizuri zaidi ukianza nakujiweka karibu sana na yeye sana tu jifanye haujajua chochote then move with huge Force without the reason na sikiliza jeh? Anajihisi vipi either atakua ni mtu wakutaka reason kwanin umebadirika kama ni hivyo utakua unamtreat kisaikolojia kwa kua hakuna mama anaependa kua na mtoto asie na baba usijali sana tekeleza hilo kama vile hauijali familia vile ila lengo kuu nikumtreat kisaikolojia zaidi"
thanks guys kwa concern yenu! na ushauri. niafuatilia kila ujumbe ninaoupata hapa na kuuweka kwenye mizania. Nilifikiri nijaribu kuongea na dada yake ambaye anamuheshimu na kumsikiliza sana, nami pia tunasikilizana sana. Je wazo langu hili mnaljona vipi?
 
Mkuu hii muvi nashauri uipe jina mojawapo kati ya haya YOLO(you only love once)au one love.
Itafundisha watu wengi sana wanaopenda penda hovyo bila kujiridhisha kwanza kama wapo tayari kwa yajayo. Binafsi nilishapitia hayo ma ex wangu japo waliolewa ila nilikuwa najitafunia na hawajawahi kunisahau ila nilikuja kumpenda msichana mmoja na akasababisha nisahau maumivu niliyopitia na tabia ya kuwatafuna ma ex ikaisha.
Nakushauri umpende akupendae na inaonesha mkeo baada ya hasira kuisha ndo akarudiana na ex wake japo kwa siri,ila ukimueleza ukweli na ukampa haki ya kuchagua kati ya wewe na ex wake hakika kama anakupenda atakuomba msamaha na ataacha hiyo tabia,mueleze ukweli kuwa mapenzi hayalazimishwi labda wewe ulimlazimisha ili aamue.31years bado ni kijana kuishi na stress za ndoa
 
Pole sana mkuu...
Tafuta mda ukae naye mueleze kila kitu, be open, mpe uhuru tena akipata likizo hiyo mbariki kabisa aende huko..
kama wako atarudi tu na kuanza upya..kama sio wako hatorudi tu...
ila ukimueleza usifunguke sana ushahid wa sms lodge, n.k maana hizo ni mbinu za kivita / nyara kali kwenye vita na kumbuka ndoa ni mapambano ya milele...usije cheza karata zako zote leo afu in the next 2 years ukashindwa kuzitumia maana atakuwa anajihami na kujua kila njia zako unazomtega..
wewe mwambie ulikuwa na mpelelezi wako binafsi aliyekuwa anamfwatilia ..full stop..ila mpe info zote...alichokifanya...

kweli mkuu inaonesha mkeo akiwa na stress she can fall for anything..so kuwa mpole mpe mwanga ye ndo achague kusuka au kunyoa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom