Cristiano Ronaldo CR7 special thread

Cristiano Ronaldo CR7 special thread

Alafu jamaa CR7 ureno wenyewe hawamkubali hata kidogo ukiangalia mashabiki jana wanamuona boya sasa cheki Messi kwao Argentina anavyokubalika ni balaa tupo anaibeba nchi mabegani ameingiza world cup final malambili moja wakachukua
 
FB_IMG_1671532870543.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom