mwanaharakati_msemahovyo
Member
- Oct 5, 2007
- 6
- 0
Wana JF toeni wito walau raisi wetu aamke katika usingizi huu mzito wa kuchelewa kuchukua maamuzi katika masuala yaliyo muhimu kabisa ya jamhuri yetu!!
Tatizo ni kuwa rais wetu anajiamini kupita kiasi na ndio maana amekuwa anapuuzia ushauri wa kufaa mpaka mambo yanapoharibika.
GT, fafanua ujumbe wako hapo juu please
Kubwajinga you are right, hata Roma haikujengwa siku moja! Of course, tunaitaji kuendelea kupiga kelele ili wajitoe wenyewe kama Chenge!Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.
.............................................
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.
Nadhani sisi ndio tuna react na sio presida.
Question:: With the power that has been vested to Tanzania presidency, do u guys believe all we are seeing now could happen without his blessings???
My answer is no, and I believe JK is clearly on our side.
Is he perfect, no but he is the best we have now, so we should march on and expose grand corruption that is bleeding our nation.
TICTS and KIWIRA have to be returned back to the govt.
This is the plan that will save us billions of Tshs.