Nani yahya
Member
- Nov 14, 2018
- 46
- 10
Saudi inafanya kusukumwa na washirika wake waliona nguvu .
Al Saud ni jewUkoo wa Saudi waliitwa ardhi ya Makkah tul Mukarramah na madinatul munawwarah kwa msaada wa Waingereza, kwa vita yaani. Sijawahi kuona nchi ambayo inajiita ya Kiislam lakini utajiri wote wa nchi umetekwa na ukoo mmoja tu, Ukoo wa Saudi.
Ukoo wao una utajiri mkubwa sana na zote hizo ni kuteka utajiri wa nchi yao. Na kama Muslim wanafikiri hawa Wafalme ni Custodians of the holy Kaaba and Masjidin' nabaway, hiki ni kituko. Wanaawacha ndugu zao wasyria, Yemen na makundi ya wakimbizi wengine. Hata kutoa msaada huwasikii. Ajabu bin Salman anaenda kununua mchoro wa Da vinci kwa $450 million. Hiyo haitoshi, wamelipa uraia sanamu la Sophie. Hata utu hawana(??!!) Na sijawahi kuona familia/ukoo ambao wanasema ni tawala ya Kiislam ambao wanashusha hadhi ya Mtume Muhammad kama Ukoo wa Saudi.
Sheikh Sudais miongoni mwa Masheikh niliyokuwa nawakubali. Anakuja Masjid Geneva anatoa fat'wa ambayo ina' legalising The killing of people in Yemen. Anasema Amerika ni peacekeeper. Anatetea na Saudi Arabia mauaji anayoyafanya. Halafu anajifanya anazungumzia amani, Sheikh Sudais ni Munafiq. Wote wakifika kwa Muhammad bin Salman wanambusu miguu.
Ni muda umefika na utafika inshaallah, the true Muslim, the true ahlul Sunni wal Jamaa wa madh'heb wa maim wa 4(Imam Malik, Imam Hanbal, Imam Shafii & Imam Abuu Hanifa) watawaondoa tu Makkah na Madinah na zitabaki kwa waislam wenyewe. Wao waongoze maeneo mengine ya Saudi Arabia na unafiq wao na kwa waislam wengine wanao busu miguu yao.
Duh umechambua vizuri,,nikweli kabisa kundi la UGAIDI LA ISIS muanzilishi wake ni bin Salmani wa saudia na washirika wake america ,,Haujui uliandikalo, nina ndugu yangu kafundisha miaka 10 University of Madinah. Nafahamu ninachoandika.
Unajua ISIS Saudi Arabia ni miongoni mwa kundi Saudi analifadhili kwa pesa? Na hili lipo wazi kabisa. Unajua hao ISIS wamechinja Masheikh wa Kisunni wangapi Syria? Mpaka Sheikh Muhammad Al Yaqoub Sheikh wa Kissuni wal Jamaa, ambaye ni miongoni mwa Maulamaa wanaotegemewa ni ahlul bayt huyu Sheikh, unajua alisema nini kuhusu juu ya ISIS na utawala wa Saudi Arabia. Unajua wana wa zuoni wa Ummah wa Kiislam was Kisunni wanasemaje kuhusu utawala wa Saudi Arabia?
Unajua Grand Imam wa Azhar University alisemaje kuhusu utawala wa Saudiya? Muhammad bin Salman je, unamzunguziaje? Mauaji mangapi ameyafanya? Na Makkah anafika kama kawaida na ana sali vilevile.
Unazizungumziaje hizi habari?
Bora ingekuwa chato hakyamunguVipi ulitaka iwe Kolomije?
Sehem zipo hizo na nyingine ni ulipo msikiti wa Al aqsa Palestine
Uko sawa mkuu,halafu mapopoma wanaiita Saudia eti nchi takatifu,wakati ni evil countryHakuna nchi ovu kwenye huo ukanda kama Saudia Arabia,wao ndo wadhamini wakubwa wa ugaidi,pia ndio vibaraka wakubwa zaidi wa magharibi katika ukanda huo na washiriki wa marekani katika uvamizi na mauaji katika nchi za ukanda huo,The saudi family is and has always been evil.
Tatizo langu huwa ni eti Eneo linakuwa takatifu, hapo ndio huwa sielewi kabisa. Anyway sio mada ya leo, nimeshindwa kujizuia kwa hili.Hayo maeneo matakatifu yalikuwepo kabla hata ya Uarabu/waarabu kuwepo
Watawala wa Saudi ni waovu, ila Saudi(hijaz) ina ardhi takatifu yaani miji ya Makka na Madina. Na Palestine ina ardhi takatifu nayo ni mji wa baytul maqis(jerusalum) lakini ina viongozi waovu ambao baadhi wameanzisha kijinchi kiovu kinaitwa israel ndani ya palestinaUko sawa mkuu,halafu mapopoma wanaiita Saudia eti nchi takatifu,wakati ni evil country
Duh Dunia imejaa vioja sana,ufalme wa saudia ukianguka Saudia itakuwa taifa zuri mnoWatawala wa Saudi ni waovu, ila Saudi(hijaz) ina ardhi takatifu yaani miji ya Makka na Madina. Na Palestine ina ardhi takatifu nayo ni mji wa baytul maqis(jerusalum) lakini ina viongozi waovu ambao baadhi wameanzisha kijinchi kiovu kinaitwa israel ndani ya palestina
Ni kweli kabisa maana ndiyo walinzi wakuu wa kijidola haramu cha israelDuh Dunia imejaa vioja sana,ufalme wa saudia ukianguka Saudia itakuwa taifa zuri mno
Jee Shia siyo waislamu? ukiondoa sababu za kisiasa zilizopo hivi sasa, kwa miaka ya nyuma mahujaj toka iran walikuwa maelfu kwa maelfu kila mwaka walienda kuhiji.Kama we si shia,basi utakuwa huujui uislamu wala historia ya Saudia
Sikulazimishi uniamini. Lakini huu ndiyo ukweli ukubali uukatie ila huu ndiyo ukweli. Masheikh wenu wote hao wa Kisalafi wakubwa Duniani wanalipwa petro dollar kutoka Saudi. Kazi yenu ni kuikhtalifisha waislam waikhtalfiane wenyewe kwa wenyewe, na kujiona ninyi ni waislam safi. Wengine wote wamepotea ni watu wa bidaa.
Kwa kifupi ninyi si Sunni na mnajitahidi sana kujipendekeza kwa Sunni. Endeleni kufuata school of thought ya kwenu. Duniani kote makundi ya kigaidi ya Kiislam ni ya Kisalafi na ndiyo ideology inayofuatwa na kuenezwa Duniani na utawala wa Saudi.