Sasa si afadhali huyo hizbullah alipigana na Mzayuni kuzuia kuingia Lebanon badala ya jeshi la nchi kushindwa(kama sijakosea ni 1982)
Mwaka 2006 hizbullah alipigana na Mzayuni tena na wote ni mashahidi wa kilichotokea kwenye hiyo vita. Mpaka Amerika akapeleka azimio la kusimamisha mapigano ya silaha UN.
Na hizbullah anasaidiwa na Iran. Na si hivyo vikundi ulivyovitaja tu bali hata Hamas wanasaidiwa na Iran Mshia kupambana na Wazayuni wanaokaa kimabavu Palestina.
Tugeuze upande wa pili wa shilingi tuwaangalia hao salafi wa Utawala wa Saudia wamefanya nini: Palestina wanaonewa hawafanyi chochote. Hatuaminishi kwamba ni vita, hata kauli tu ya (iman dhaifu) kutoa neno chanya hakuna. 30 April 2018 Muhammad bin Salman(MBS) katika kongamano la viongozi New York aliwambia Wapelestina should take Trump deal or shut up. Unajua hayo maazimio ya Trump juu ya Palestina yalikuwaje? Mahali ambapo kuna Qibla cha kwanza cha Kiislam Masjid Al Aqsa.
Na vipi kuhusu urafiki wa Saudiya na Wazayuni? Wanafanya mazoezi ya kijeshi pamoja. Niambie ewe mnafiq: Naona unageuza na upande wa shilingi kuhusu mauaji ya Jamal Ghashugi. Mfalme Salman alisema Saudiya ni nchi inayoongozwa kwa sharia za kislam. Wote waliyofanya mauji ya Ghashugi watachukuliwa hatua pasipo kuangalia nafasi zao ni zipi katika nchi ya Saudi Arabia. Niambie sasa, Dunia nzima inajua muuaji ni MBS. Wamefanya nini Utawala wa Saudiya unaojinasibu unafuata sharia ya Kiislam?
Ndiyo aina ya viongozi mnao watetea wewe na mwenzako Babu na Mjukuu. Enyi wanafiq.
Nani asiyejua Amerika anayoyafanya kwenye huu ulimwengu. Halafu nchi inayojiita inatawala kisheria ya Kiislam inalindwa na dhalimu Amerika.
Halafu anakuja
babu na mjukuu ananiita Mimi ni mshia na siijui vyema itikadi. Wewe Babu na Mjukuu pamoja na huyu mwenzako ni wanafiq. Muugopeni Mungu acheni unafiki ninyi.
Saudis Arabia anadiriki mpaka kuwachangia magaidi wa ISIS nchini Syria. Acheni Unafiq.