Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
HahahaMwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Putin alisifiwa kukimbia akapitiliza kwao [emoji12]Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Hahaha [emoji736][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]Putin alisifiwa kukimbia akapitiliza kwao [emoji12]
AiseeMwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
Shida Putin alianza ota Mapembe kwamba na yeye anaogopewa akaanza na Georgia akahamia Syria kumlinda Dikteta Assad
Akaona haitoshi baada ya Crimea akaitaka nchi nzima huku akiwapiga mkwara Finland na Sweden eti na Ole wake mtu ajiunge na NATO na yoyote atakaeingilia atakutana na moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapatwa hadi na Parkison ugonjwa uliompata pia Hitler mambo yalipoanza kuwa magumu.
Daah aisee alianza vizuri sana sasa hivi yupo kwenye Downfall Putler wakujifananisha na Pyotr the Great
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hamuoni kuwa mnawakwaza timu Urusi? Tangu Ukraine aanze kuwatimua Urusi sehemu walizokuwa wameteka wamepoa kweli kweli. Thread za vita ya Urusi na Ukraine hawaonekani tena.Hahaha
... lile limeli lililosifiwa kote duniani kama meli hatari zaidi ya kivita kuwahi kutokea duniani (Moskava) liliposhushwa "kuzimu" na wapiganaji shupavu wa Ukraine; automatically nilijua bila nyuklia, Mrusi ni mwepesi kuliko tunavyohadithiwa.mbinu za Ukraine zimekaa kimafya sana.
walipo shindwa kuikamata kyiv. russia ikawa na mbinu ya kujiimarisha maeneo walipo jishikiza na kuteka maeneo mapya ya ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu.
yaani rusia ilenyesha mvua za makombora asubuh mchana jion na wahanga wakubwa wakawa raia.
sasa UKRAINE akaja na mbinu mpya wakishambuliwa mfululizo wanarudi nyuma ili kuviacha vikos vya adui vijirundike. katika maeneo watakayo teka.
wakat huo huo alisha usoma mchezo kua air defence za urus ni poyoyo.
akaanza kuzishambulia kwanza hizo air defence alipo maliza akafatia na rada za russia alipo maliza akamalizia na mfumo wa ugavi wa silaha.
halafu ghafla bin vuu sasa
SHAMBULIAAAAAAAAAAAAAAAAA.
RUSIA anapigwa hajui mashambuliz yanapo tokea fikiria unanyeshewa mvua ya makombora zaid ya 50 halaf yote yana hit Target.
mfano wa bondia ambae kila ukipgana nae yeye anakulenga ngumi ya pua tu. yaan ukiinua uso ngoma ina land puani kila ukifurukuta kitu kina piga apo apo puani
vip utaendelea na pambano apo?
ndicho kilichowakuta wafuas wa PUTIN.
tulivyoona wanashambulia mara CRIMEA mara madaraja mara nyingine wanashambulia had maghala ya silaha yaliopo ndan kabisa ya urus. tukajiuliza hawa vipi? leo ndio tumejua
USICHEZE NA DAMU za kiyahudi aseee.
... pro-Fashisti ni watu wa ajabu. Mojawapo ya hoja zao zenye mashiko eti Zelensky akabidhi nchi yake kwa Russia! Hawaamini kinachotokea.Hamuoni kuwa mnawakwaza timu Urusi? Tangu Ukraine aanze kuwatimua Urusi sehemu walizokuwa wameteka wamepoa kweli kweli. Thread za vita ya Urusi na Ukraine hawaonekani tena.
... anasahau US kinachotawala ni systems ambazo ziko well organized and regulated. Ni hatari sana kwa nchi kumtegemea Chizi mmoja aliyejigeuza alpha na omega; ambaye neno lake ndio Katiba ya nchi.yaani akajiona yeye ni USA mtupu.
anaiga tembo kunya.
asijue wenzie wanamzoom tu.
ndani ya miez saba hoi bin taaban.
... pro-Fashisti ni watu wa ajabu. Mojawapo ya hoja zao zenye mashiko eti Zelensky akabidhi nchi yake kwa Russia! Hawaamini kinachotokea.
Putin walikuwa wana mu over rateSaa72 za kuichukua Ukraine imekuwa 200days na wamefukuzwa sasa