Credibility ya CHADEMA kama chama cha ukombozi imefutwa sasa ni chama cha kuleta hofu na dhahama

Usijifiche rafiki
 
Unawezà kuzungumzia kidogo kuhusu Chanjo? Watoto kukaa chini, tozo, kupanda kiholela kwa bidhaa, ukosefu wa huduma bora za afya n.k? Au wewe akili yako uko tuned na Chadema tu?
 
hivi kweli inakuja kichwani kwamba mwenzenu Tundu na Lema wapo Ulaya wamekimbia nchi, nchi imetulia, mama kaja kivingine anataka maridhiano, wao hawataki kurudi wanataka wabaki kulekule waendelee kuwa vibaraka wa wazungu, wanaambiwa na wazungu wasababishe violence kwenye nchi zetu ili wazungu wavune kivingine, wao wanawashauri cdm walete violence kwa kulazimisha mambo na kuleta dharau na kibri kwenye serikali, cdm wanakubali, wanakamatwa wanawekwa ndani, wanaanza kulia, Tundu yupo ulaya hana uwezo kuwawekea dhamana wala kuwaletea msosi gerezani, wanachokitaka ni kitu ambacho hakina umuhimu wowote kwa sasa....wao wanakubali tu kila kitu.

nakuhakikishia, kati ya wale wana chadema hata wale walioenda kisutu, mchukue mmoja tu friendly, muulize katiba mpya ni nini, hata wale wamama, atakosa jibu. hajui, yeye anaamini katiba mpya ni maisha mazuri, akikosa pesa anaamini ni kwasababu ya katiba mpya wanayosema kina mbowe, kumbe wenzao wanatafuta madaraka ili wale pesa kwa mgongo wao hili hawalijui. acheni kutumia wananchi masikini kama mgongo kutafutia maisha yenu, nafsi zenu ziwasute basi.
 
akili zao zilishafukunyuliwa kitambo watakuelewa mkuu!
 
akili zao zilishafukunyuliwa kitambo watakuelewa mkuu!
hauelewi nililokuambia kwasababu umelewa upupu wa maigizo, haujielewi ila kuna siku utakuja kuelewa. Never has violence produced results in this world, waliofanikiwa wachache sana. nakushauri jifunzeni kwa ghandi.
 
usidanganyike hakuna wakati wowote ambao chadema wamepata political credibility kama huu toka ndani na nje ya nchi kwa taarifa yako,chadema inakwenda kwa kasi na polisi watashindwa kuuzima kama moto wa kariakoo
 
usidanganyike hakuna wakati wowote ambao chadema wamepata political credibility kama huu toka ndani na nje ya nchi kwa taarifa yako,chadema inakwenda kwa kasi na polisi watashindwa kuuzima kama moto wa kariakoo
so what you mean ni kwamba sasahivi (kipindi cha mama) ndio mmepata political credibility ndani na nje ya nchi? hizo ndizo dharau sasa zinazowaponza. what if ushahidi ukija kwamba kweli mlipanga kulipua vituo vya mafuta mwaka jana? na wazungu wakauona, badala ya kuomba poo mnaleta jeuri, shauri yenu.
 
Hao labda wanapambana kukomboa njaa za matumbo yao, sidhani kama una akili timamu unaweza hangaika nao.
 
Mbona sisi huku uraiana akili tunazo na tunaelewa jamaa wanapewa kesi za kubumba .
 
Mbona sisi huku uraiana akili tunazo na tunaelewa jamaa wanapewa kesi za kubumba .
mnadanganywa na wanaokula kupitia migongo yenu. ni kweli kuna maovu wanayafanya, sio malaika hao na hakuna chochote wanachopigania zaidi ya matumbo yao.
 
mnadanganywa na wanaokula kupitia migongo yenu. ni kweli kuna maovu wanayafanya, sio malaika hao na hakuna chochote wanachopigania zaidi ya matumbo yao.
Hao wanaokataa katiba mpya bia sababu za msingi wanakula kupitia migongo ya nani?
 
Uzoefu umetuonesha kuwa katika nchi za dunia ya tatu, Chama chochote cha Siasa kikishindwa katika chaguzi nne mfululizo kama hakuna uongozi madhubuti ni rahisi sana kugeuka chama chenye kuzalisha machafuko.
 
Ongeza sauti Kamanda mchovu,hujasikika hujaeleweka.
 
Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma
 
Kwanini huna akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…