Credibility ya CHADEMA kama chama cha ukombozi imefutwa sasa ni chama cha kuleta hofu na dhahama

Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Usijifiche rafiki
 
Unawezà kuzungumzia kidogo kuhusu Chanjo? Watoto kukaa chini, tozo, kupanda kiholela kwa bidhaa, ukosefu wa huduma bora za afya n.k? Au wewe akili yako uko tuned na Chadema tu?
 
hivi kweli inakuja kichwani kwamba mwenzenu Tundu na Lema wapo Ulaya wamekimbia nchi, nchi imetulia, mama kaja kivingine anataka maridhiano, wao hawataki kurudi wanataka wabaki kulekule waendelee kuwa vibaraka wa wazungu, wanaambiwa na wazungu wasababishe violence kwenye nchi zetu ili wazungu wavune kivingine, wao wanawashauri cdm walete violence kwa kulazimisha mambo na kuleta dharau na kibri kwenye serikali, cdm wanakubali, wanakamatwa wanawekwa ndani, wanaanza kulia, Tundu yupo ulaya hana uwezo kuwawekea dhamana wala kuwaletea msosi gerezani, wanachokitaka ni kitu ambacho hakina umuhimu wowote kwa sasa....wao wanakubali tu kila kitu.

nakuhakikishia, kati ya wale wana chadema hata wale walioenda kisutu, mchukue mmoja tu friendly, muulize katiba mpya ni nini, hata wale wamama, atakosa jibu. hajui, yeye anaamini katiba mpya ni maisha mazuri, akikosa pesa anaamini ni kwasababu ya katiba mpya wanayosema kina mbowe, kumbe wenzao wanatafuta madaraka ili wale pesa kwa mgongo wao hili hawalijui. acheni kutumia wananchi masikini kama mgongo kutafutia maisha yenu, nafsi zenu ziwasute basi.
 
Tundu Lisu amewapotosha mengi wakaingia kichwakichwa, hawakutakiwa kuja na move hizo walizo nazo, Tundu lisu akiwa ulaya anataka wenzie wafanya violence na kulazimisha mambo wakati yeye kakimbia nchi, na wao wamemsikiliza. too bad. kwa Samia alivyoanza alikuja vizuri na alitaka mshikamano wao wakamdharau na kutaka kumpelekesha. nashauri mkae chini mfikirie njia bora ni ipi mwende kwa serikali muombe muafaka na kutubu ila mkifikiri kushindana na serikali mtashinda mnajidanganya. wamarekani mnaowaomba msaada hata kule kwao wanapiga watu risasi, askari wao ni wakatili kuliko hata askari wetu, kule hawapigi virungu kama hapa ukifanya mchezo wanapiga risasi ya moto na hakuna anayewaingilia. na wanaouawa zaidi kule ni blacks kama sisi na ninyi mnategemea mzungu aje hapa awapende blacks? hapa wamefuata maslahi yao binafsi ambayo ninyi hamtayajua hadi baadayeee na ni maslahi hayohayo wanatafuta kwa kupachika watu kama kina Tundu ili wakiwa marais waje wayapate, sasa akiwepo mtu wa ccm anayewapatia ninyi mnachinjiwa baharini kama alivyofanywa savimbi tu. fungukeni.
akili zao zilishafukunyuliwa kitambo watakuelewa mkuu!
 
hauelewi nililokuambia kwasababu umelewa upupu wa maigizo, haujielewi ila kuna siku utakuja kuelewa. Never has violence produced results in this world, waliofanikiwa wachache sana. nakushauri jifunzeni kwa ghandi.
 
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
usidanganyike hakuna wakati wowote ambao chadema wamepata political credibility kama huu toka ndani na nje ya nchi kwa taarifa yako,chadema inakwenda kwa kasi na polisi watashindwa kuuzima kama moto wa kariakoo
 
so what you mean ni kwamba sasahivi (kipindi cha mama) ndio mmepata political credibility ndani na nje ya nchi? hizo ndizo dharau sasa zinazowaponza. what if ushahidi ukija kwamba kweli mlipanga kulipua vituo vya mafuta mwaka jana? na wazungu wakauona, badala ya kuomba poo mnaleta jeuri, shauri yenu.
 
Hao labda wanapambana kukomboa njaa za matumbo yao, sidhani kama una akili timamu unaweza hangaika nao.
 
Mbona sisi huku uraiana akili tunazo na tunaelewa jamaa wanapewa kesi za kubumba .
 
mnadanganywa na wanaokula kupitia migongo yenu. ni kweli kuna maovu wanayafanya, sio malaika hao na hakuna chochote wanachopigania zaidi ya matumbo yao.
 
Hao wanaokataa katiba mpya bia sababu za msingi wanakula kupitia migongo ya nani?
 
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Uzoefu umetuonesha kuwa katika nchi za dunia ya tatu, Chama chochote cha Siasa kikishindwa katika chaguzi nne mfululizo kama hakuna uongozi madhubuti ni rahisi sana kugeuka chama chenye kuzalisha machafuko.
 
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Ongeza sauti Kamanda mchovu,hujasikika hujaeleweka.
 
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma
 
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.

Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm

Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani kama magaidi. Je wananchi watakuwa na imani na sisi kama huko nyuma?

My take: Tuna wakati mgumu kurejesha sifa ya Chama chetu. Tujipange kisawasawa.
Kwanini huna akili?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom