Credibility ya CAG matatani tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Credibility ya CAG matatani tena!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 27, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  JF naona mmekuwa bize na party politics mpaka siku hizi haijulikani what we stand for anymore

  Iko wapi JF ambayo ilikuwa haiishi kupata scoops kila kukicha on issues kama hizi?

  We need the JF ya 2004/5 ambayo ilikuwa inafanya productivity kwenye maofisini kushuka

  anyway

  Habari za ndani kabisa kwenye ofisi ya Mkaguzi mkuu wa serikali ni kuwa kuna infightings za kufa mtu kwani kuna so much irregularities ambazo zinatokea na hii inaifanya ofisi nzima ya CAG kuonekana kama chaka la ma incompetents

  Pia vile vile ofisi hii inamatatizo ya transparency na upande mwingine kuna taarifa kuwa kuna deliberate attempts za kuifanya isiwe transparent. Juzi walikuwa na kikao cha ndani kujadili namna gani wanaweza kupata public sympathy baada ya ofisi yao kuwa under fire from the media na public at large na moja kati ya options zilizoangaliwa ni kuwa na website na kufanya public campaigns ili watu wajue wanafanya shughuli gani lakini cha ajabu Bwana LUDOVICK UTTOH amekuwa against the whole idea ya kuweka wazi reports zao online kwa sababu ambazo haziko wazi zaidi ya kuwa anaogopa kuwaudhi ma cronies wenzie

  By the way kule PCCB nako hali si hali na hawajui hata wafanye nini kudeal na hizi attacks from centre left and right nao pia wanajaribu kupata media strategy ya kujibu mapigo
  Mengi naye msimao wake ni huu hapo chini wewe soma hii editorial:


  Apparently MZEE KINGUNGE kampiga mkwara UTTOH ripoti ya Ubungo isitolewe kwani inamuimplicate directly mwanae KINJE  sasa kazi kwenu kikosi cha CSI cha JF kuileta hii ripoti humu ijadiliwe
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Anayetakiwa kuiweka ripoti public ni Waziri Mkuu au sivyo? so, Pinda naye ashambuliwe hapa siyo Utoh peke yake. Kumbuka pia aliyetoa ahadi ya kuiweka public ripoti hiyo ni Pinda. Naungana nawe kuomba CSI kuingia kazini, hii ripoti inaweza kupatikana tu, japo Executive summary.
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  GT, Ni kweli JF imeshuka makali yake ya zamani.Kwa maoni yangu mimi, Utouh alianza vizuri tena kwa nia njema, imefika mahali wamejikuta Ripoti za CAG zinaichafua serikali yenyewe, mwanzoni Utouh alikuwa imara anabanana nao, sasa amefikia mahali Utoh nae is in line to help save JK's face.Ile ripoti ya CAG kuhusu EPA bado imeiweka serikali mahali pagumu, ilikuwa kampuni ya Kagoda isiwepo kwa sababu ni kampuni maalum ya kazi maalum ambayo imekamilika na kuzaa matunda yaliyokusudiwa. Utoh alitakiwa kucompromise na serikali kuhusu hiyo kampuni maalum na kazi maalum na asiiorodhe Kagoda ili kuinusuru sio serikali ya JK bali Mtangulizi.Kitendo cha Utouh to stick to his guns by playing by the rules according to the books, imemjengea maadui wengi from within National Audit yenyewe, ndani ya serikali na above all mafisadi ambao sasa wanajipanga kutumia nguvu ya fedha walizonazo kuhakikisha wanamchafua CAG. Kaeni mkao wa kula, muda si mrefu, mtasikia kwenye vyombo vya habari vya mafisadi, kutamiminwa tuhuma lukuki kuhusu CAG. Uzuri wa Utouh, mimi binafsi namuaminia, kazi aliyolifanyia taifa hili ni nzuri so far so good.
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Pasco you are missing the point!

  Internally sasa hivi kuna soul searching baina ya bosi na management au top brass. Mfano kuna auditing zinafanywa kwakutafuta visasi na eventually vijana wanakuwa overzealous mpaka wanasahau mipaka na ethics za kazi zao.

  Kuna incidents zaidi ya 6 ambazo baadae ikaja kujilikana kumbe ilikuwani mitego au trojan horses ambao waliwekewa wakajikuta wameandika madudu ambayo hawakuweza kutetea mbele ya kamati za bunge husika

  Now the most interesting thing Uttoh anampigia simu Hoseah ili ampe ushauri on how best he should handle among others presha za Mzee Kingunge na Mengi. Sasa katika kupanic wanaangalia uwezekano wa kumpata mtu wa kuact as communications director wa CAG ili aweze kumiliki media and unfortunately wamesahau kuwa yes wanaweza kuwahandleOLD MEDIA kupitia personal relationship lakini tatizo liko kwa NEW MEDIA ya net forums na blogs.

  Credibility huyu Uttoh hana na kama nayo asingechukua route ya SALVA RWEYEMAMU ya kukataa kuwa na website ambayo eventually itabidi watuwekee pdf version za hizo reports badala ya kubania na kwa kuanza wangeanza na FULL version na si ile edited version ya Kariakoo na Ubungo.

  At the end of the day Uttoh kama amechemsha ataambiwa na hii cover ya kuwa eti mafisadi wanampiga vita wont work akitaka aonekana ana nia nzuri aache mchezo wa kuwa na versions 3 tatu za ripoti zake...
   
 6. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Credibility yako pia inaanza kupotea, kuna wakati ulikuwa unapinga kuwa maandiko ya Magazeti ya MENGI sio msimamo wa Mengi na kuwa yeye hana ifluence kuhusu nini kiandikwe na nini kisiandikwe SASA NI HABARI GANI UNATULETEA HAPA????????
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  try to understand the difference between EDITORIAL and NEWS ARTICLE
   
 8. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Utouh akiona anabanwa aachie ngazi kuliko kuendelea kuharibu jina na heshima yake.
  Ni ajabu kwa wakati tulionao kukataa kuweka ripoti zake online
  kwani ni siri?
  Ofisi ni yake au ya umma?
  Anaficha kwa faida ya nani?
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  Jamaa wana website na ripoti za ukaguzi huwa wanaziweka, to be honest, sikujua kuwa wanaripoti za version tatu, yaani ile ya kweli, na ile ya public consuption, hiyo version ya 3 ni ya nini, au malice kama ile ya Richmond?.
   
 10. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ludovick Utoh,ni mtu wa system,so nothing can change!Do you think anawweza kuwaindependent?
  Alikuwa NBAA muda mrefu sana.I am not sure alikuwa na cheti cha kutambulika CPA au ACCA though alikuwa top wa accounting body.Ni bongo hii
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Pasco

  tunaomba link ya hiyo website ya CAG
   
 12. 911

  911 Platinum Member

  #12
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Need I have to say something!?http://nao.go.tz/
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Junior staff wana lalamika kuwa mgt haitazami jinsi wanavyolipwa hivyo inakuwa ngumu kwao kuvuta toka mashirika mbali mbali ya serikali wanakoenda kufanya auditing
   
Loading...