Credibility Check: Standard Chartered/Stanbic Bank/FNB. Ipi bora zaidi?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,104
53,341
Nimeombwa ushauri hapa benki gani nzuri Kati ya hizo hapo juu au Kama Kuna nyinginezo kwenye:
Yenye kuoperate dollar account
Huduma bora Na za kisasa.
Matawi Mengi yaliyotapakaa nje Na ndani ya nchi.
Makato yawe considerable au ya chini.

Shukrani kwa msaada wako.
 
Standard Chartered wako vzr sana. Nina bank nao. They gud, reliable and faster
 
Nimeombwa ushauri hapa benki gani nzuri Kati ya hizo hapo juu au Kama Kuna nyinginezo kwenye:
Yenye kuoperate dollar account
Huduma bora Na za kisasa.
Matawi Mengi yaliyotapakaa nje Na ndani ya nchi.
Makato yawe considerable au ya chini.

Shukrani kwa msaada wako.

Mi kwa upande wangu ccm ipo poa zaidi
 
barclays is the best.they have economic tarriffs,experienced&proffesional workers,they serve customer like waooo!. crdb also but their problems are system failure sometimes&time delivery but it is good bank.both barclays&crdb and u can consider them when asking for loan. stanbic=strange tariff guides. standard chartered=good but not much branches in tz. i used all of those banks.Fnb is good also but not much branches in tz.
 
I'm using CRDB and I know them!
I put those banks into my considerations because of their international experience!
 
Standard bank wapo safi,next Barcalys(ABSA) kwa maoni yangu kutokana na vigezo ulivyovitoa hapo juu,FNB wapo ila bado hawajaenea sana katika bara letu ingawa nayo its a very strong bank
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom