Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Feb 20, 2011 #1 nimekuwa nikiangalia kipindi cha vioja mahakamani kutoka kwa ndugu zetu wakenya they are so creative na kila kipindi kinatofautiana na kingine kweli wanajua sana mambo haya
nimekuwa nikiangalia kipindi cha vioja mahakamani kutoka kwa ndugu zetu wakenya they are so creative na kila kipindi kinatofautiana na kingine kweli wanajua sana mambo haya
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 58,740 Reaction score 131,880 Feb 20, 2011 #2 Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu.
Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu.
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Feb 20, 2011 Thread starter #3 Pasco said: Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu. Click to expand... Nashukuru kwa kuwa umeelewa tatizo lilipo la watanzania
Pasco said: Kibweka, hata Watanzania wako creative kuliko hata Wakenya, tatizo letu ni mitaji mikubwa na darring heart, uthubutu. Click to expand... Nashukuru kwa kuwa umeelewa tatizo lilipo la watanzania