Creation of commercial adverts

Creation of commercial adverts

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,163
Reaction score
34,359
Wakuu, habarini za jioni.
Naomba mwenye kufahamu namna ya kutengeza matangazo ya biashara anifahamishe. Huwa yanatengezwa vipi? Nina interest ya kuanza kazi hii ila sijui nianze wapi.
So please naomba A to Z yake.
Asanteni.
 
za watu mkuuuuu
za watu mbona easy , si ni kama maigizo tu, unaandaa sory kulingana na muktadha wa tangazo/product, scripts,video kamera za kushoot, director wa kuelekeza, then kwisha habari!

Animationa and graphics ndio ngumu inabidi ujue kutengneza hizo animations au graphics kwa kutumia software zake like adobes, maya!

inabidi uwe na kampuni yako ya matangazo ujulikane, ili ufuatwe upewe tenda ya tangazo, ukishafahamika watakufata wenyewe!
 
Don't think ni rahisi kama unavyosema.. I think jamaa anaongelea Television commercials za ukweli na sio Television infomercials ambazo zimetawala TV zetu..
 
unakaribishwa kutoa mawazo yako na wewe hujazuiwa
 
Wakuu, habarini za jioni.
Naomba mwenye kufahamu namna ya kutengeza matangazo ya biashara anifahamishe. Huwa yanatengezwa vipi? Nina interest ya kuanza kazi hii ila sijui nianze wapi.
So please naomba A to Z yake.
Asanteni.

Ukitaka kuwa wa ukweli tafuta kazi kwenye advertising agency work there for two three years learn the business side and the creative process meet people create a network then you can take it from there.. Ushauri tu wengine huzama direct kwenye market..
 
Adv agency ya tanzania?
Kumbuka huyu mtu yuko tanzania sasa si bora tu ushauri wa mathematic maana hata akifanya kazi kwenye adv agency zetu akimaliza atafanya the same kama wafanyavyo wao..
 
Yes advertising agency za Tanzania ndugu za ukweli kama Creative eye, JWT, Oglivy, Aggrey & Clifford, Real2reel, Roots, JWTE, Khangarue Media nk na sio za kina mimi choka mbaya. Huku utakutana na watu waliokwisha fanya kazi huko duniani wamekuja Tanzania kuchuma kwenye media industry ya bongo yenye opportunity kibao ukiwa na connections. These guys huleta creative directors, film directors, DOP's na art directors wenye uzoefu na exposure ya kutosha kuhusu media na matangazo duniani, ukifanya nao kazi kwa karibu na ukawa willing to learn am telling you in two or three years utakuwa umejifunza mengi toka kwao. Ukisema ukasome mwenyewe lets say chuo kikali nje (eg. Vancouver Film School) sio chini ya 60 millions kwa mwaka itakutoka mkubwa. Advertising industry ni ngumu kuliko watu wanavyodhani kuwa having a camera, tripod and actors will make a good commercial, uzoefu, creativity ni muhimu zaidi.. Sisi boom letu la matangazo limeanza baada miaka ya 2000 ambapo Tv zimekuwa nyingi na people need to advertise.. Wenzetu they have been doing it for over fifty years.
 
thanks Bosi Michembe. Yeah, unajua ninachokitaka mimi. Ni tv commercials za ukweli kwa sababu I need to relay the creative ideas in my mind nazo hazijachoka. I want to create ads for biig corporations like cocacola and airtel, vodacom etc.Ila kusomea si rahisi kwa sababu I want to do it as a hobby because it is quite different from my career path. Is there a chance I could do it as a freelancer?
 
Ukitaka kuwa wa ukweli tafuta kazi kwenye advertising agency work there for two three years learn the business side and the creative process meet people create a network then you can take it from there.. Ushauri tu wengine huzama direct kwenye market..

kufanya kazi mkuu itakuwa ngumu kidogo. I am going to take a risk. Write a script for an ad, take it to an agency, market it and if possible enter into an agreement on share of proceeds after sale to whatever company. In the meantime I will find a way to protect my intellectual property rights should the agency attempt to sell my idea contrary to our agreement.
 
za watu mbona easy , si ni kama maigizo tu, unaandaa sory kulingana na muktadha wa tangazo/product, scripts,video kamera za kushoot, director wa kuelekeza, then kwisha habari!

Animationa and graphics ndio ngumu inabidi ujue kutengneza hizo animations au graphics kwa kutumia software zake like adobes, maya!

inabidi uwe na kampuni yako ya matangazo ujulikane, ili ufuatwe upewe tenda ya tangazo, ukishafahamika watakufata wenyewe!

sounds easy. Ngoja nifanye research.thanks.
 
Ukitaka kuwa wa ukweli tafuta kazi kwenye advertising agency work there for two three years learn the business side and the creative process meet people create a network then you can take it from there.. Ushauri tu wengine huzama direct kwenye market..
Omba kafanye kazi buure pale Scanad hapo utakuwa nguli au kama una hela nenda Nairobi kuna vyuo vingi tu hata vya mchochoroni lakini wanafundisha vizuri wao wanafundisha kwa kujiajiri na sik kupata cheti cha kwenda kuombea kazi ndio raha ya vyuo vya Kenya
 
thanks Bosi Michembe. Yeah, unajua ninachokitaka mimi. Ni tv commercials za ukweli kwa sababu I need to relay the creative ideas in my mind nazo hazijachoka. I want to create ads for biig corporations like cocacola and airtel, vodacom etc.Ila kusomea si rahisi kwa sababu I want to do it as a hobby because it is quite different from my career path. Is there a chance I could do it as a freelancer?

I get what you say and dream bro! Ila sitaki kukukatisha tamaa kufika kwenye kutengeneza TV commercial za ukweli takes years of learning and hard work na uwezo wako wa kujifunza mambo. Ukweli ni huu mkuu makampuni yote makubwa hasa ya simu they dont deal na mtu binafsi moja kwa moja hata siku moja they deal with agencies, unaweza kuomba kufanya presentation nao n it will take forever kukuona n by the end of the day watakuambia communicate na agency wanayodeal nayo.. Give yourself time jifunze more things. You could do it as a freelancer as well ukaanza na matangazo madogo madogo kama ya hoteli, herbalists, shule sure you will gain experience along the way then you can go for the big shots..
 
thanks Bosi Michembe. Yeah, unajua ninachokitaka mimi. Ni tv commercials za ukweli kwa sababu I need to relay the creative ideas in my mind nazo hazijachoka. I want to create ads for biig corporations like cocacola and airtel, vodacom etc.Ila kusomea si rahisi kwa sababu I want to do it as a hobby because it is quite different from my career path. Is there a chance I could do it as a freelancer?
Jifunze kwanza jinsi ya kuandika matangazo. Acha kuwaza kufanya kazi kwenye TV industry. Jifunze kwanza matangazo yanavyoandikwa halafu ndio ufanye uamuzi wako.

Hivi vitabu vitakusaidia:
1. How to Write A Good Advertisement---Victor Schwab
2. The Copywriters Handbook---Bob Bly
3. Cashvertising---Drew Whitman
4. Ogilvy On Advertising

Ukishasoma hivyo vitabu kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho...Google hii website---> swiped.co

Andika matangazo ya hiyo website kwa kutumia peni na karatasi au peni na kidaftari. Fanya hivyo kwa kama miezi miwili. Halafu nenda fiverr.com kama unataka ku-freelance.

Kumbuka: jifunze kwanza lengo la kuandika tangazo la biashara. Lengo la tangazo la biashara siyo burudani au kutoa taarifa kwa umma.

Lengo la tangazo la biashara ni kuuza product. Kumshawishi mteja anunue bidhaa husika. Na hivyo vitabu hapo juu vitakufundisha jinsi ya kufanya hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom