Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,813
- 32,551
Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana.
Kwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana.
Hembu nipe linkUkaage kule selfika ujiokotee mitoto mizuri comrade😂
Tumuulize Langa, sema keshazikwa. Ila usiwaze sana mwamba wanguKwamba??
Kwamba huujui uzi wa selfika?Hembu nipe link
Sijawahi kuuonaKwamba huujui uzi wa selfika?
Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZNa kufahamu sana , na nina kusoma sana.
Sio nataka kujulikana ila tu kwa ambao hawana miaka mitatu hapa ila kila uzi wanakuwa Mention ila mimi mwenye miaka kumi na sijawahi kutajwa hata kwa bahati mbaya.
Napenda unavyojifariji 😍Hata sitaki, naona bora kuwa asie kulika na, bora sana kuwa unpopular, unakuwa na amani na furaha sana.
Hahaha!Napenda unavyojifariji 😍
Daaah ! Kwa kiasi chake u Genz Nisha karibia Sana kuvuka .Usihofu mkuu tutakutaja😹kama wewe ni GenZ
Hahahah, najua utani rafikiKwahiyo sisi hatuna amani mkuu! Punguza hasira ule ni utani tu 🤭🏃🏽♀️
Hahaha , basi chukua namba kutoka kwake.Punguza hasira mkuu😅
Kanikazia we ngoja aje😅Hahaha , basi chukua namba kutoka kwake.
Waohh! AsanteeSawa basi zile kule haziendani na uhalisia hata kidogo🫢 tumebuni tu kwahiyo usifikiri tumekutenga mkuu tuko pamoja!
Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz.Itakuwa umezeeka sasa gen z wameshika hatamu🫢
Kumbe bado! Basi jikaze kidogo huwezi kosa cha kusimlia😅Bado kidogo bwana ! Bado kama miaka miwili kuvuka Genz.
Sa natamani nisipitwe Sana nikose cha kuhadithia
Sio uji tena ni soda😃Umeonae !
Napigwa za uso kinyama.
Fanya kunipa hata lipa namba unywe soda ya kufuturu.