Mbona wewe haupo umeenda kuongeza kreti au 😂😂😂
kuna mmoja hapo anachoma shada mbona haziko mezani.
We watu tofauti wana sura moja glass mbili za nani ss hizo mezani😆
kuna mmoja hapo anachoma shada mbona haziko mezani.
akili mnemba sometimes inachanganyikiwa...lbda kuna walevi wawili wameenda toilet ila sio kweli seat zao ziko wapi😂We watu tofauti wana sura moja glass mbili za nani ss hizo mezani😆
Wanakunywa bia za kupimadosho12 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hazipo, walichoweza ni kuweka pombe na majina tu vingine imevurugwa balaa😄akili mnemba sometimes inachanganyikiwa...lbda kuna walevi wameenda toilet ila sio kweli seat zao ziko wapi😂
Sijui zinapimwa wapi 🤣Wanakunywa bia za kupima
aiseHazipo, walichoweza ni kuweka pombe na majina tu vingine imevurugwa balaa😄
Kesho ulete yangu na ya Mbaga Jr tukiwa tumeshikilia dushelele zetu na kushindana kunyetuka.
Naamini secretarybird atashinda kwa TKO.
Angalia juu 😁😁 tayariKesho ulete yangu na ya Mbaga Jr tukiwa tumeshikilia dushelele zetu na kushindana kunyetuka.
Naamini secretarybird atashinda kwa TKO.
Broke 😎.View attachment 3546325
Chagueni niwatengenezee😆