Create your smell, create you own look!

Hivi smell na scent zinatumika interchangeably?
Anyway, perfumes ama uturi ina sehemu yake. Kinachochanganya ni harufu tamu ya pumzi ya mtu. Sijui niite smell of the breath? Ajabu ni kuwa ukiacha kumpenda mtu huisikii tena hii harufu. Ni tamu, sexy, stimulating and all that. Sijui kama kuna mtu aliwahi ku-eksipiriensi hii.
Smell of breath unamaanisha harufu ya kinywa? Hebu 2pe experience kabla ya hao wengine
 
Back
Top Bottom