CRDB yafungua a/c ili kwa yeyote atakayeguswa aweze kumchangia ANNA ZAMBI

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,647
20,985
ANNA GABRIEL ZAMBI
Account Number ni 0152478061700
Shukran sana sana Benki ya CRDB kwa ushirikiano wenu mkubwa kwenye hili na flexibility ya hali ya juu mliyoionesha bila kusahau Branch Manager wa Mlimani City kwa kulishughulikia kwa upekee wa hali ya juu JUMAPILI ya leo

Kwa wanaohitaji kujua zaidi mtoto yuko kwenye mikono salama ya familia yake ambapo ataishi na Mama Mdogo kimalezi lakini hatuwezi kuwaacha peke yao, kumbuka huyu ni binti wa miaka 16 aliyepoteza BABA, MAMA, na WADOGO ZAKE WATATU kwa mara moja, hivyo tushirikiane kwa pamoja kumshika mkono, hiyo hela itaingia moja kwa moja kwenye ACCOUNT YAKE BINAFSI.

76702338_2490540530981720_8943567815307165696_n.jpg
 
Ni watu wangapi wanapatwa na majanga zaidi ya hayo na serikali haichukui hatua?
wako wengi sana wengine hata takwwimu hakuna.Ndiyo maana kupitia hili sasa liwe funzo kwa serikalai kuanza kushughulika na majanga kama haya!
 
Back
Top Bottom