CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

hsnaturalfertility

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2022
Posts
918
Reaction score
1,946
Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete.

Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo.

Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya hitimisho.

Hakuna wa kumwambia chochote CRDB maana ni untouchable 😃. Benk kuu ipo kimya na hata mamlaka za juu zaidi zipo kimya.

Kwao vipesa vya wananchi wa kawaida haviwasumbui, hata mkisema mnafunga account.

Wanatetemekea wateja wenye mi deposit mikubwa mikubwa.

Mungu atusaidie.
 
Anzisheni thread waathirika wote wa tatizo hili.
Tafuteni wanasheria nguli wafungue CLASS ACTION dhidi ya CRDB.
BOT pia waunganishwe kwenye mashitaka wao kama wasimamizi wa benki zote kwa kushindwa kuwasimamia CRDB.
 
Wazo zuri sana 💪
 
Back
Top Bottom