Mtoa mada hilo Tangazo lenye picha ya aliyeshinda kesi liko wapi?
huoni mchongo wa wafanyakazi wa bank, hasa utawala wenye mamlaka ya kuruhusu vitu kama hivyo na huyo binti ili wapige pesaNi ajabu kosa kama hilo kufanywa na bank kubwa kama Crdb
Wee endelea tu na mabango ya Simba na Yanga.Mtoa mada hilo Tangazo lenye picha ya aliyeshinda kesi liko wapi?
Anaenda kukazia hukumu na mali za CRDB zenye thamani hiyo zitakamatwa zipigwe mnada.What if CRDB wakagoma kulipa hicho kiasi cha fedha kwa mlalamikaji? Wanasheria wabobevu majibu?
Shukrani...Anaenda kukazia hukumu na mali za CRDB zenye thamani hiyo zitakamatwa zipigwe mnada.
Ama akaunti mojawapo ya CRDB itazuiwa ili kiwango cha fedha kinachodaiwa kilipwe.
Kuna madalali wa mahakama hao ndo hutumika kutekeleza hukumu za mahakama kwenye kesi za madai.
Sasa kulipwa ndii utaelewa makato yake.....plus wakili 30% ....kuna kodi ya serikali pia...na mtoa haki pia....yumoo amini mimi....ila atapata like 120m au 150mWooow....katusua huyo aiseeeeee, hilo ndio maana ya zali sasa
Ina maana hii ndo njia yake ya Kuishi au??
Kwanini ni yeye tu dhidi ya makampuni makubwa nchini?
Bila kuweka ushahidi wa kutosha, hii itakuwa ni porojo tu!huoni mchongo wa wafanyakazi wa bank, hasa utawala wenye mamlaka ya kuruhusu vitu kama hivyo na huyo binti ili wapige pesa