Siku hizi biashara ni huria. Bank zipo nyingi sana Tanzania. Ukiona crdb hawakufai wewe hama tu!!Nimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.
Wanakata kuchukua pesa, wanakata kila mwezi huduma ya account na baadhi ya huduma sasa naona wanaona haitoshi wameanzisha biashara kwenye KADI hasa utapotaka kubadilishiwa. Hii sijahiona NMB sijui bank zingine.
Vipi wana jamvi kuna ambaye naye wamemkuta? Vipi wako sahihi?mnasemaje waungwana nimeona tuliangalie pamoja.
Karibuni.
fanya research wewe, kurenew kadi nmb unalipia elf10, kwa hiyo elf5 ya crdb ndo imekustua? Ni charge za kawaida mkuu.
Ni kawaida sana..na unaulizwa kabisa kwamba,account yko hakikisha ina shilingi 5000 km balance ambapo wao ukata kutoka kwenye account directly
wangekua wanakuibia
wangekwambia u cash in hand
nmb tozo ni 10000
sasa cjui ww unazungumzia nmb gani iyo?
Ok nimewapata vema sasa naamini muda wa.kwisha umewekwa kibiashara zaidi maana hakuna kipya ktk kadi mpya.
Nakubali hakuna bure na nipo tayari kwa hilo ila maswali hayo ndiyo yalinipa shida.
Unapenda vya bure enheeee..... JiangalieNimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.
Wanakata kuchukua pesa, wanakata kila mwezi huduma ya account na baadhi ya huduma sasa naona wanaona haitoshi wameanzisha biashara kwenye KADI hasa utapotaka kubadilishiwa. Hii sijahiona NMB sijui bank zingine.
Vipi wana jamvi kuna ambaye naye wamemkuta? Vipi wako sahihi?mnasemaje waungwana nimeona tuliangalie pamoja.
Karibuni.
Nimeshuhudia mteja wa crdb akiambiwa alipe sh. 5000/ kwa ajili ya kupata kadi mpya baada ya iliyopo kuisha muda wake yaani miaka chini ya miaka 5.

naona wewe ni mgeni kakita huduma za kibank mbona ni ishu za kawaida hizo kama ulikua hujui habari ndiyo hiyo ukiona huwezi kumudu tunza kwenye vibubu
fanya research wewe, kurenew kadi nmb unalipia elf10, kwa hiyo elf5 ya crdb ndo imekustua? Ni charge za kawaida mkuu.
mi nna account nmb.hawakati kurenew.labda ukipoteza kutengenezewa mpya.ku renew unakuta imetengenezwa tu.huko wanacharges nyingi accoun nlifunga.badala ya ela kuongezeka inapungua tu makato kibao.
NBC ni elfu 15 ikiwa:
Ime expire
Ime lost
Imeharibika.