Mpangamji
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 540
- 141
Nimejaribu kufuatilia mshahara wangu kila mwezi unapoingia CRDB nakatwa Tshs 4,000 ambayo imeandikwa EFT hii inakwata kwa ajili gani, maana kwa uelewa wangu ni kuwa monthly charges nalipa na pia mwajiri wangu anakatwa hela anazoziita bank charges kwa ajili ya mshahara wangu. nimeongea na jamaa yangu mmoja wa agent ya serikali yeye ameangalia akaona anakatwa Tshs 3,000 ambayo imeandikwa commission to .....(jina la agent).
Tunaweza kuwa tunachangia hela bila ridhaa zetu. Mwenye ufahamu zaidi afafanue. au kama hujui basi angalia statement yako baada ya mshahara kama unatumia bank ya CRDB.
Nawasilisha
Tunaweza kuwa tunachangia hela bila ridhaa zetu. Mwenye ufahamu zaidi afafanue. au kama hujui basi angalia statement yako baada ya mshahara kama unatumia bank ya CRDB.
Nawasilisha