Umetia aibu sana...yaani ukodishe bodaboda ya 5,000 kukwepa makato ya 2,600 kwa wakala!!! Hii nchi ina watu wa hovyo sana.Jamaa wanafeli Sana, Siku moja nikipata dharula ya kifedha nikiwa pale Ofisi za Mkuu WA Mkoa Ilala. Nikaulizia ATM ya karibu wakasema niende msimbazi.
Nimechukua boda had round ya msimbazi kwa mbele kule Wana kibrach pale pembeni ATM Haina hela, boda akasema twende mnazi mmoja aisee nafika napishana na wateja nao wanatoka wanalalamika wametoa Kkoo Sokoni kule hamna kitu.
Nilifanikiwa kutoa Azikiwe Street ikanibidi nirudi Tena Ilala kwa boda Aisee nilikereka Sana.
Yaani nipo City Centre lakini kutoa hela ni ishu,
Ni rahisi manaa zipo Kwa wakala tu dear
Daresalaam CBD ni wapi ????Nahisi hii bank imeelemewa na wateja hasa "Daresalaam CBD" na ni kama hawana kabisa mipango
Mjini.Daresalaam CBD ni wapi ????
Sio wakala wao kama equity hapana ni wale wakala wa mpesa na tigo pesa wengi wanazile mashine .Equity wana wakala wapi? Nje ya kariakoo
Na kariakoo sijui wapo wawili
We chukua kadi ya DTB nenda katoe pesa kwenye ATM za NMB utaona unaonywesha makato kabisa, mfano unataka kutoa laki unaonyeshwa utakatwa elfu 11,800 kama makato hiyo ni kwa Atm za NMB, na kila Bank ina viwango vyake mfano Absa kwa kadi za nje makato yao ni elfu 20 utoe laki au elf kumi lakini makato elf 20.Acha uongo
Kwa hiyo hizo ni CBD mbili au moja ?Posta na Kariakoo..CBD ni "Central Business District"
Duh sio mchezo aiseeWe chukua kadi ya DTB nenda katoe pesa kwenye ATM za NMB utaona unaonywesha makato kabisa, mfano unataka kutoa laki unaonyeshwa utakatwa elfu 11,800 kama makato hiyo ni kwa Atm za NMB, na kila Bank ina viwango vyake mfano Absa kwa kadi za nje makato yao ni elfu 20 utoe laki au elf kumi lakini makato elf 20.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Leo crdb simbanking ina shida gani? Mbona huwezi kuhamisha kwenda kwenye mitandao ya simu au kutoa hela kwa token