Pumbavu weweBasi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20,000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20,000 haipo.
naunga mkono hoja mimi yamenitokea mara mbili BOA Bank hq pale na NBC mnazi mmoja .....!!!Hapana mkuu kiukweli kabisa zilifungwa na lababendi kwa mafungu manne
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuita teller mwizi,bila hata kumpa benefit of doubt,kwammba inawezekana amekosea bahati mbaya tu bila kujua...
Zile pesa akati anahesabu yeye kwenye mashine ndio uwe makini utaona tu kama anataka kukuibiaMkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
Mbona ajakosea kuzidisha pesa mwisho wa siku akusee kuniibiaUmemuita teller mwizi,bila hata kumpa benefit of doubt,kwammba inawezekana amekosea bahati mbaya tu bila kujua...
Alafu hawakoseagi kuzidisha pesa ,wao ni kuiba tunaunga mkono hoja mimi yamenitokea mara mbili BOA Bank hq pale na NBC mnazi mmoja .....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliibiwa elfu kumi yangu NMB, nilienda kufanya malipo flani nilikuwa na sh elfu 80, baada ya kuzikabidhi nikiwa nimeambatanisha zile karatasi tunazojazaga, akasema nimekosea, huo mfumo wa GePg malipo yake hufanyikia kwa mawakala hapo nje kuna maduka,Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dirishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuwa amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5,000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10,000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20,000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20,000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Majizi sana Yale madadaIliibiwa elfu kumi yangu NMB, nilienda kufanya malipo flani nilikuwa na sh elfu 80, baada ya kuzikabidhi nikiwa nimeambatanisha zile karatasi tunazojazaga, akasema nimekosea, huo mfumo wa GePg malipo yake hufanyikia kwa mawakala hapo nje kuna maduka,
Basi karudisha pesa, sikuzihesabu . Nafika kwa wakala nahesabu pesa inapungua elfu kumi, nilijisachi holaaa, baadae nkagundua nimepigwa na teller...nikataka kurudi kuidai nkatafakari kuhusu ulinzi uliopo pale na kama wakinigeuka ntaishia sero, nkaipotezea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nihakikishe mala ngapi na uhakika ninao, nilimwambi anibadilishie vibunda 10000 tupu akaninyamazia akanipa bahasha ya kuwekea lilundo la 5000 tupu ili nishindwe hesabuNenda kamfate. Ukifika mwangalie machoni bila kusema chochote. Mkazie macho mwanzo mwisho. Akiangalia pembeni au kuona aibu, basi jua alikuibia kweli, hapo utapata nguvu za kumshitaki.
Sent using Jamii Forums mobile app