CRDB Tawi la Chanika mmeniibia

Hizo pesa uliibiwa njiani acha kulaumu tellers maana kutoka hapo benki mpaka huko kwenye kuandikishana ni hatua pia watu siku hizi ni wezi sana wanaweza kukuibia bila hata kuwa na physical contact binafsi ilishawahi nitokea nilienda tawi moja la backlays pale karikoo nikatoa laki 5 kwenye mashine na nikahesabu kabsa bt nafika home mbagala nikakuta laki 4 tu so mshukuru sir god kwa kuwa hawajachomoa pakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo michezo IPO hata kwa baadhi mawakala kutoa na kuweka pesa ukienda kwa ajili ya kuweka usipohesabu mbele yake imekula kwako yamenikuta kariakoo meeneo big born kona ya kuingilia magari ya abiria ya muhimbili kwa wakala mwenye 11121 Issa Mdolwa nilijua labda nimedondosha nauliza majirani waniambia ni michezo yake ila nimemwambia hiyo michezo itakutokea puani utakuja kuingia sehemu siyo
 
Huwa wanao mchezo flani hv... anahesabu mbele yako kwa mashine then wakati anazifunga kwa rubber band hudondosha chini noti kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Recklessness, a likukong'oli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
Kama unatoa hela mara kwa mara mzigo mwingi, ni kucheza na mashine tu na mara nyingi teller anakuangalia na kukuelekezea mashine pale anapotoa kibunda cha fedha na kuhesabu kwenye mashine hivyo kwa kutumia mashine unaangalia wakati anahakiki zile yale mabunda ya fedha kabla ya kukupatia
 
Mkuu pole sana kalikuwa ka hela ka kiwanja nini, manaake nimeona umetaja mjumbe hapo...

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
 
Huwa wanao mchezo flani hv... anahesabu mbele yako kwa mashine then wakati anazifunga kwa rubber band hudondosha chini noti kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio rahisi, counter za wahumu wa bank ziko wazi sana chochote atakachofanya kinaonekana, Ninadhani watakuwa wamehesabu vibaya wakati wa kukabidhiana, noti za elf5 hugandamana hasa zinapokuwa chakavu ni rahisi kukosea kuhesabu, hata baadhi ya mashine za kuhesabia hukosea sembuse mikono!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hua vibuli sana hawa wafanyakazi utakuta wamenuna tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibunda kimoja ndo kilipungua 20000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambuwa "Count your money before leaving the counter"..Sababu wanajua kuna human errors huwa zinatokea,.wewe unachukua hela unakimbia,unakuja kumlaumu dada wa watu huku JF,ambae unaweza kuta hata hajui kama alikupa hela nusu...
 
Unaambuwa "Count your money before leaving the counter"..Sababu wanajua kuna human errors huwa zinatokea,.wewe unachukua hela unakimbia,unakuja kumlaumu dada wa watu huku JF,ambae unaweza kuta hata hajui kama alikupa hela nusu...
Nimetoa dukuduku lg sijalalamika tambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…