TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,297
unasimama pembeni unahesabu, huku watu wengine wakipata hudumaMkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
mkuu uwe unahesabu kwanza kabla hujaondoka counter, teller wenyewe huwa wanakosea ndio maana wanataka ujiridhishe, ukiwaamini na ukaondoka kumbe pesa imepelea hiyo inakuwa uzembe wako mwenyeweMnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
atumie mashine vinginevyo ahesabu hata kama atatumia masaa mawili. unaharakia wapi kwaniMkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
Hili nalo nenoHalafu Nmb kwanini hamtaki kufungua tawi Chanika ?mnatusumbua sana aisee huku kuna wakazi (sio yule wa hip hop)wengi sana ila huduma tunafata gomz
Sent using Jamii Forums mobile app
Madalali walikua wanasumbua huku njee kupiga simatumie mashine vinginevyo ahesabu hata kama atatumia masaa mawili. unaharakia wapi kwani
Cha muhimu wawe waaminifu maana nasikia ndo mchezo waomkuu uwe unahesabu kwanza kabla hujaondoka counter, teller wenyewe huwa wanakosea ndio maana wanataka ujiridhishe, ukiwaamini na ukaondoka kumbe pesa imepelea hiyo inakuwa uzembe wako mwenyewe
Pole siku ingine mwambie ahesabu kwenye mashine ile screen ya mashine ikiwa imegeukia usawa ambao unaona, hatakataa!
Ni kweli ni jukumu lako kuhesabu, ila itakua matumizi mabaya na kutokutumia tech wakati kuna mashine uanze kuhesabu vinoti kwa mkono hadi umalize.
Mimi natumia hiyo ya kumwambia heaabu hapo kwenye mashine na sijawahi kulizwa.
Nimependa hio avatar..naipatajeMwezi wa pili ndio unakuja kusema leo??wew leo una stress, embu kaa chini jipige kifua na relax...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hizo ndio tabia zao mkuu, siku nyingine hesabu mpunga wako hapo , mm pia imeshanitokea walinipiga 10,000 CRDB tabataMnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe na wewe wamekupigaHao hizo ndio tabia zao mkuu, siku nyingine hesabu mpunga wako hapo , mm pia imeshanitokea walinipiga 10,000 CRDB tabata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni njaaa sana Hawa wadadaAnahesabu tena vizuri sana na skrini anakugeuzia, kupigwa ni pale mrembo anazitoa hizo noti kwenye mashine ili azipange akukabidhi.
Zimehesabiwa mbele yako hivyo hutakuwa na muda tena wala wasiwasi kuhakiki, naye anatumia vema mwanya huo kuchezesha noti mbili tatu ili maisha yasonge.
Mjini shule bwashee.
Ni majizi sana haya madadaKuna mada humu watu walizungumzia jinsi hao wahudum wanavyoiba. Wanazidondosha pale chini anapokua amekaa.
Ni majizi sana haya madadaKuna mada humu watu walizungumzia jinsi hao wahudum wanavyoiba. Wanazidondosha pale chini anapokua amekaa.
Usitulishe matango Pori hapaMimi sio mvivu kabisa wa kuhesabu pesa hata unipe silver za mia tano tano kiasi cha milioni mbili nitahesabu vizuri tu sinaga ubishoo kabisa kwenye kuhesabu pesa
Sent using IPhone X
Mimi sio mvivu kabisa wa kuhesabu pesa hata unipe silver za mia tano tano kiasi cha milioni mbili nitahesabu vizuri tu sinaga ubishoo kabisa kwenye kuhesabu pesa
Sent using IPhone X