komoakomesha
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 285
- 407
1. Hela ulihesabu vibaya cause ml.2 Kwa buku 5 tano NI rahisi mno kukosea hesabu.Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu kiukweli kabisa zilifungwa na lababendi kwa mafungu manne
Hapana wote pale tulihakiki pesa zinapitia kwa mwenye eneo anahesabu pamojA na shahidi mtendaji Ana hakiki1. Hela ulihesabu vibaya cause ml.2 Kwa buku 5 tano NI rahisi mno kukosea hesabu.
2. Mtendaji ndo alikupiga hiyo hela
Hilo ndo kosA nililofanyaHaiwezekani nipokee hela bila kuhesabu [NEVER - JPM]. Hata wakati niko mdogo, baba alipokuwa ananipa karo ya shule nilikuwa nahesabu mbele yake bila kuondoka. Hata nikichukuwa milioni 300 lazima nihesabu. Nitaomba zihesabiwe katika mashine wakati naangalia.
Kiukweli kabisa madalali walikua wanasumbua sana kwa kupiga simu nikaona Hadi nihesabu itakua nachelewa nikaondokataratibu zinasema hesabu pesa zako kabla ya kuondoka counter.......sijui kwa lugha ya malikia wanaandikaje.......sasa tutakuamini vip kama zilikuwa pungufu au unataka kumualibia Dada wa watu...... au mkuu pesa zimeishaa niniii. kapige nyungu mkuu
Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.
Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.
Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.
Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu
Mkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?taratibu zinasema hesabu pesa zako kabla ya kuondoka counter.......sijui kwa lugha ya malikia wanaandikaje.......sasa tutakuamini vip kama zilikuwa pungufu au unataka kumualibia Dada wa watu...... au mkuu pesa zimeishaa niniii. kapige nyungu mkuu