Asante kwa taarifa,kesho nitaenda kuomba bank statement kabisa ya miezi miwili!je una sim banking?hupat sms za kuwa kuna mtu kachukua pesa kwa account yako?
loh! mbona ndiyo benki pekee ya kitanzania niliyokuwa na imani nayo!
...yawezekana ni kweli kwenye msafara wa Mamba na Kenge hawakosekani!
"siku hizi za karibuni crdb bank, wameajiri vijana wengi ma- .com"
wanaopenda kuishi maisha ya juu, bila kutoka jasho!
pole sana . mimi sina account crdb ila mke wangu anayo , lakini utendaji na ufanisi wa benk hiyo hunivutia na kwa kweli CRDB ni fahari ya tanzania.
Ninaamini japo una hasira nyingi kutokana na huduma uliyopewa na watumishi baada ya kigundua shida kwenye akaunti yako ,bado una mawazo mazuri sana ambayo yanaweza kuboresha mifumo ya hiyo bank. Unaweza kuwasiliana na Mkurugenzi wa CRDB Dr. Charles Kimei .
tuione kua Benki ni yetu na tuiboreshe iweze kutusaidia vizuri zaidi.
Je huwa unaprint mini statement na kuangalia salio lako la CRDB mara kwa mara hasa kupitia VISA CARD? Kama hufanyi hivyo ujue kuna uwezekano mkubwa unaibiwa bila kujua na unaibiwa kidogo kidogo ili usishtuke na hiyo ndo strategy inayotumika.
Fedha zetu zilizoko kwenye akaunti katika benki ya CRDB sasa zinaibiwa kirahisi kidogo kidogo kutokana na kudorora kwa Security System ya kuzuia access ya watu wengine kwenye akaunti zetu kupitia VISA CARD. Mimi ni muathirika mmojawapo kati ya wengi waliopatwa na mkasa huu ingawaje wengi au hawasemi au hawajagundua tatizo hili.
Nilicheki balance yangu kwa njia ya ATM card ikawa inaonyesha fedha inatoka kupitia VIsa card na mini statement ikaonyesha kila siku fedha kiasi cha shs 50,000 inatoka na hata nilipocheki balance nikatoa kadi fedha ikaonyesha imetoka wakati huo huo ingawaje sikuchua hata senti tano.
Nilikwenda customer care siku mbili mfululizo kuwaeleza hili tatizo na hawakunisaidia chochote zaidi ya unprofessional porojo.
Then nikaomba wanisaidie ku block card yangu nayo ikawa kama nawasumbua kwani ushirikiano ukawa hakuna kabisa na badala yake wakanipa namba za simu za kupiga ambazo ni 0754557788, 0714197700 na 0789197700.
Nilipiga hizi namba zaidi ya mara 20 na ziliita bila kupokelewa hadi ninapoandika huu ujumbe.
Hii phenomenon imeniogopesha sana hasa ukizingatia aliyepewa dhamana ya kutunza fedha za watanzania i.e CRDB haonyeshi kujali hata kidogo kuhusu usalama wa fedha za wateja badala yake anaonyesha kila dalili ya uzembe, kushiwa mbinu na kukata tamaa ktk kuthibiti wizi wa fedha za wateja.
Madhara yake ni kwamba :
1. Mtu akijua pin yako ya ATM anaweza kuchota hela yote kwa muda mfupi bila kuweza ku block akaunti yako ambayo wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wenye benki tu na siyo mteja. Kwa Bahati mbaya hii kwa CRDB siyo huduma ya DHARURA na ndiyo maana simu za ku block akaunti hazipokelewi!!!!
2. Kwa sasa ni rahisi ukivamiwa na majambazi wakachukua fedha yote within short time iwapo watafanikiwa kuipata kadi yako ya CRDB kwani hata siyo rahisi kui block
3.CRDB wanadai kuwa mimi ndio custodian wa akaunti yangu ilihali fedha ziko mikononi mwao na tafsiri ya maneno hayo ni dhahiri kuwa fedha zetu ziko HATARINI.
Hali kama hii inaanza kuleta maswali mengi kuhusu usalama wa hela zetu zilizoka benki ya CRDB.
Niyasemayo ni kweli na alert kwa wale mlioweka hela CRDB mkakague akaunti zenu mcheki balance usije ukajikuta umebaki empty kama mimi. Na wale customer care wakishaona hilo tatizo huwa wanajaribu kutoonyesha kushtuka ili lionekane dogo na kuepuka customer kuwa shocked.
Ukweli ndo huo na hata watu wasipoamini sas basi wajue siku si nyingi watajikuta wanalia.Hata waTZ walipoambiwa DECI inakufa hawakuamini na mimi natoa hii habari iwasaidie mkakague akaunti zenu yasije yakawapa yaliyonikuta hadi hapo CRDB watakapotuhakikishia kwa vitendo kuhusu security ya hela zetu kwa kufanya yafuatayo:
1. Huduma ya ku block akaunti ya mteja anapobaini tranactions zisizo za kawaida ziwe za dharura na zinazopatikana masaa 24
2.Kuzuia wizi wa kisirisiri unaofanywa kwenye akaunti za wateja.
Ninayeandika haya ni mwathirika na hii imenitokea kuanzia tarehe 21 hadi 27 November 2013 hapa Arusha na hadi naandika sijapata solution kwani hakuna mfanyakazi wa CRDB aliye tayari kusaidia kutatua tatizo langu bali kukwepa kwepa tu.

Mvumbuzi haupo peke yako, nilitumiao atm ya crdb mlimani city kutoa km kilo nane na nusu, hiyo ilikuwa tar 26 mwezi huu, benki yangu ni stanbic. Tar 30 nikachukua statement pale sinza mori kuna atm mpya ya stanbic nikakuta kilo na nusu imetolewa tena inaonesha kwa visa card lkn tar 28/11 nimelog complain kwa syanbic nasubiri 48hrs wanipe jibu. Kuna jamaa yangu wa karibu na yeye alipiwa milioni moja kwa visa card hivyo hivyo na yeye ni mteja wa stanbic lkn alitolea nbc. Kuna jamaa wanaiba kupitia vijikamera vidogo wanavibandika pembeni ya atm mkiweka password vinanasa jipni jamaa wanakusanya wanaanza kazi ya kupiga mshiko