Huduma ya Salary Advance CRDB

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,203
4,207
Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? Ama ina tatizo gani? Maana unaomba mkopo siku tatu uko pending, kwanini?

Wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku.
 
Hello wakuu, kuna hii huduma ya salary advance CRDB. Imesitishwa? ama ina tatizo gani? maana unaomba mkopo siku tatu uko pending ... kwanini?
wahusika hebu pitieni hapa okoeni jahazi huku...
Mwisho wa mwezi huwa inasumbua sana subili siku mbili mbele nazani mambo yatakuwa sawa tu
 
Back
Top Bottom