CRDB NI AIBUkwa benki hii kutoa ubani wa laki tano kwa familia ya wanajeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB NI AIBUkwa benki hii kutoa ubani wa laki tano kwa familia ya wanajeshi

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 13, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  http://3.bp.blogspot.com/-UAUA1br9cvQ/UEtldvNzwUI/AAAAAAAAM0Q/SycH8RGJ8R4/s1600/Faraja.JPG
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka, akimfariji mtoto Salum Chinguile ambaye ni mmoja wa watoto wa Marehemu Koplo Yusufu Saidi, ambaye alikufa maji katika zoezi la kulinda amani mjini Darfur, nchini Sudan.
  source3.bp.blogspots

  Nimesikitishwa na kitendo cha benki ya CRDB kutoa rambi rambi kiduchu la laki tano kwa kila familia iliyopotelewa na askari huko Darfur.
  mimi sielewi ujumbe wanaoutoa kwa wananchi, benki hii ambayo ni moja kati ya benki kubwa zaidi nchini.
   
 2. b

  babacollins JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kutoa ni moyo..............sio benki......hata wewe unaweza kufariji
   
 3. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Binafsi ninaamini umepata audacity ya kuwakandia CRDB baada ya wewe mwenyewe (uwe tajiri au masikini) kuchangia chochote. Kama hivyo ndivyo, ninakupongeza sana!

  Kama hujachangia chochote bado, you better wisen up man and keep a lid on that big bowl of yours!!
   
 4. aye

  aye JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  we umechangia ngapi
   
 5. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Inauma eee!
   
 6. K

  Kilekamagana Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Unajikuna mkono unapofika. Usilaumu chochote hapo.......
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Wacha upuuzi, kwani hata wangetoa milioni kumi uyo mwanajeshi angefufuka????

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Yeah.. inauma kuona mtu anapanua bakuli lake kubwa na kutoa mbofumbofu dhidi ya mwingine ambaye walau kaguswa japo kidogo, huku mtoa mbofumbofu mwenyewe hata sensi tano hajatoa.

  You must be suffering from CCMiasis whose symptoms are greed, selfishness and wickedness.
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  You're back?
  Thats interesting, you must be one of those money bag geezers from the "Bank that listens".
  Your fellow geezers up there with yourself make one hell of a misery bunch.

  Kuuza sura for a paltry five hundred thou, thats what I call stingy.
  And why did they have to send that poor lady, coats and tails and all, would have been better if you had not called the press.
  By the way where was the big man himself?
  Out and away in the US, to be exact, probably spending a few hard earned vijisenti.

  You guys are very stupid, whom do you think you are taking for a ride?

  Stingy lot.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ni aibu nafikiri kwa Benki kubwa kama CRDB kutoa laki tano kama ubani wakati wao wana tengeneza mabilioni.
  kuna ulazima gani kujionyesha mbele ya kadamnasi kwa hela ndogo kama hiyo?
  Kama msukumo wao CRDB ulikuwa wa kibinadamu TU, basi wangefanya shughuli hiyo kimya kimya.
   
 11. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ulitaka watoe ngapi
   
 12. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Wanawakibika kutoa Au wamekotolea Jamani? Ha, Mbona m5 nyingi Jamani?


  QUOTE=masopakyindi;4624508]http://3.bp.blogspot.com/-UAUA1br9cvQ/UEtldvNzwUI/AAAAAAAAM0Q/SycH8RGJ8R4/s1600/Faraja.JPG
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka, akimfariji mtoto Salum Chinguile ambaye ni mmoja wa watoto wa Marehemu Koplo Yusufu Saidi, ambaye alikufa maji katika zoezi la kulinda amani mjini Darfur, nchini Sudan.
  source3.bp.blogspots

  Nimesikitishwa na kitendo cha benki ya CRDB kutoa rambi rambi kiduchu la laki tano kwa kila familia iliyopotelewa na askari huko Darfur.
  mimi sielewi ujumbe wanaoutoa kwa wananchi, benki hii ambayo ni moja kati ya benki kubwa zaidi nchini.[/QUOTE]
   
 13. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Sorry sikusoma Poa, hii Ni Aibu! Laki 5 Jamani? This is stupidy kabisa, Huu Ni mchango Wa harusi, sio Unami Watu waliompoteza bread winner!  QUOTE=uttoh2002;4631792]Wanawakibika kutoa Au wamekotolea Jamani? Ha, Mbona m5 nyingi Jamani?


  QUOTE=masopakyindi;4624508]http://3.bp.blogspot.com/-UAUA1br9cvQ/UEtldvNzwUI/AAAAAAAAM0Q/SycH8RGJ8R4/s1600/Faraja.JPG
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka, akimfariji mtoto Salum Chinguile ambaye ni mmoja wa watoto wa Marehemu Koplo Yusufu Saidi, ambaye alikufa maji katika zoezi la kulinda amani mjini Darfur, nchini Sudan.
  source3.bp.blogspots

  Nimesikitishwa na kitendo cha benki ya CRDB kutoa rambi rambi kiduchu la laki tano kwa kila familia iliyopotelewa na askari huko Darfur.
  mimi sielewi ujumbe wanaoutoa kwa wananchi, benki hii ambayo ni moja kati ya benki kubwa zaidi nchini.[/QUOTE][/QUOTE]
   
Loading...