CRDB: Miyeyusho wiki hii

CRDB: Miyeyusho wiki hii

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Mnadanganya huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.

Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.

Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.

Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.

Mnapotoa tangazo na ualisia field uwe vile vile.

Nasikitika mtaani huduma zote za CRDB hazipatikani.
 
Mnadangana huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.

Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.

Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.

Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.

Mnapotoa tangazo na ualisia field uwe vile vile.

Nasikitika mtaani huduma zote za crdb hazipatikani.
Nadhani walitoa tangazo kuwa watakuwa na marekebisho
 
Nadhani walitoa tangazo kuwa watakuwa na marekebisho
Jana walimaliza mikato yao na wakatutumia ujumbe, wacha nijikoki kwenda town na nilivyokua na kiu..... kufika natia kadi hola, nikarudia ikamezwa kabisa...🤨
 
Wanahudumia CCM kwanza
IMG_2506.jpeg
 
Lazima watakuwa na management ya hovyo kama serikali ya CCM, wangeweza kufanya usiku na kwa vipande vipande, nina uhakika hata wao wamepoteza billions, ningekuwa shareholder CEO angeondoka
 
Mnadanganya huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho.

Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna.

Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama kwa sababu ya uongo wenu.

Mlitakiwa kuwaambia watu ukweli waweke akiba ndani.

Mnapotoa tangazo na ualisia field uwe vile vile.

Nasikitika mtaani huduma zote za CRDB hazipatikani.
Kwa kweli CRDB wamechemsha sana .
Toka ijumaa, walisema matawi yatafungwa , ila Simbanking itapatikana, uongo mtupu!
Mpaka saa tano na nusu CRDB ilikuwa haipatikani mtandaoni.

Uongozi uwajibike, kwani transactions in billions zimeyayuka.
 
Walitangaza siku 3 Ila haikupata coverage sana !
Sasa hivi account za baadhi ya watu zinasoma zero...taharuki....! Na majibu hayapatikani. Bado sijaamini kama hii benk imekuwa "Desi" in a disguise!
 
Back
Top Bottom