CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

CRDB in recent years ni kama wamebweteka kimtindo mm nliacha itumia maana nlikuwa nakuta madeni mtu wa saving a/c unambiwa una overdraft na hiyo hela ww ujawah iona na hata ukiomba bank taarifa zako za transaction wanakuzunguusha mpk unaona kero
Mkuu hiyo ya madeni hata mi ilinishangaza sana unakuta akaunti ina negative (-) salio unajiuliza imekuwaje tena? Kwani Benki inaruhusu utumie salio ambalo hauna kwenye akaunti? au mitambo yao huwa inakorofisha?
 
Nimefanya kazi benki shida mnajifanya mnajua kumbe bush lawyer kwenye kadi yako kuna alama ya PayPal? Na unaelewa maana ya visa au MasterCard?
We b.wege naomba ukae kimyaaa...Mtoa mada case yake ni ya pay pal. Yangu ni tofauti. Nimeongelea kwamba nimetumia visa payment gateway moja kwa moja sikutumia any third party kama pay pal na nimekutana na hiyo challenge.. Nitakutukana sasa hivi.....Wacha watu wenye majibu ya msingi walete majibu... Soma uelewe si kukurupuka kujibu tu.
 
Huna ufahamu wa unachoongea. Kwa maelezo yenye ufahamu mdogo hujua hata PayPal ni nini. Nashauri ujielimishe kwanza. PayPal wana pore fund wanarudisha kwenye account ya bank ya mhusika na si account ya PayPal...pay pal ni gateway.
 
ngoja wengine wakujibu maana naona unatafuta kiki isiyo na sababu
Achana na bwege huyo anataka tu kuleta league zisizo na tija. Halafu anajibu utadhani yeye ndo mfanyakazi wa CRDB
 
Huna ufahamu wa unachoongea. Kwa maelezo yenye ufahamu mdogo hujua hata PayPal ni nini. Nashauri ujielimishe kwanza. PayPal wana pore fund wanarudisha kwenye account ya bank ya mhusika na si account ya PayPal...pay pal ni gateway.
Jinga kweli tuma SMS ya refund wamesema pesa iko wapi? Unadhani situmii huduma ya online purchase mijitu mingine aibu unajifanya unajua kumbe hujui. Kwenye acc yako ya PayPal kuna hela au hakuna? Je umeihamisha pesa ikatoka na huioni ilikokwenda? Acha ujinga
 
Ili si jukwaa la kushinda ujuzi wa kutusi watu. Pole sana.
 
CRDB noma aisee! Dakika chache zilizopita wameshanipiga na mbaya zaidi sina access na tawi lao lolote lile!
 
Mkuu hiyo ya madeni hata mi ilinishangaza sana unakuta akaunti ina negative (-) salio unajiuliza imekuwaje tena? Kwani Benki inaruhusu utumie salio ambalo hauna kwenye akaunti? au mitambo yao huwa inakorofisha?
kwa ulewa wangu watu wa current a/c ( za kibiashara) ndo wanaweza fanya overdraft sasa mm ka a/c kangu ka kudunduliza vi saving unanipa deni hyo hela bora hata ningekuwa naipata basi unakuta hata sijaiona nafikir kuna utundu utundu wa vijana wa IT pale
 
Acha kutumia Vibaya mitandao ya Kijamii
 
Thank you kwa taarifa hii, sababu sitsjaribu kutumia hiyo benki kwa hayo na lolote menginevyanayohusu kurudishiwa pesa.
 
CRDB in recent years ni kama wamebweteka kimtindo mm nliacha itumia maana nlikuwa nakuta madeni mtu wa saving a/c unambiwa una overdraft na hiyo hela ww ujawah iona na hata ukiomba bank taarifa zako za transaction wanakuzunguusha mpk unaona kero

Basi wamezidi wizi hata savings account bila maelezo dah!!!!
 
Sasa jamaa amepata shida anaomba msaada wewe unamsaidiaje maana umeingilia tu thread kuleta ubishii. Muelekeze hatua stahiki ambazo anapaswa afanye wewe si unadai una uzeofu na mbao ya benki? Kama huna msaaada kwake ni mara kumi ukanyamaza tu
 
Si kosa lako naona negativity make you happy.. Nimekosea kushuka kwenye level yako naona tayari utanishinda kwa experience ngoja nirudi juu
Sipendi siasa kwenye professional za watu kama hamjui kitu uliza sio kujibu jibu ovyo.
 
Mtu mbumbavu dawa ni kumuacha na kumpuuza tuu...Sipendi kuwa quoted kumaanisha kwamba sitaki tena interaction na mtu aliyeshupaa kwa upumbavuu. Mtu kaja na shida ameuliza na kuuliza si ujingaa.. Sasa kama una akili ndogo unaanz aku shut down.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…