CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

Durubai

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Yaan hapa teller za kuweka na kutoa ziko nne bt zinazofanya kazi ni mbili tuu,hizo mbili zingine wanajua wenyewe wanachokifanya ,ukweli watu ni wengi na foleni ni kubwa ukizingatia waanatumia mfumo wa tiketi,kwa hyo hadi tiketi namba yamba iitwe mmmh ushabunda sana,anghalieni bhana watu wana mambo yao kama mnapenda kutuona tumekaa tu hapa kwenye viti coz ya kiyoyozi na tv hata hatuvitaki cc tumefata huduma.

SOURCE : Mimi mwenyewe nko hapa ss hv ni km lisaa hivi nina tiketi namba 48.
 
Siyo hao tu bali benki nyingi sana hali iko vile tatizo ni kuajiri kwa vimemo na kuangalia sura badala ya ufanisi. Nenda Exim Mlimani City na benki nyingine nyingi tu hali ni hivyo
 
Dah kweli kabisa yaan,ukiwaambia watakuambia unawafundisha kazi bt haiko poa na inabidi wajirekebishe kwa kweli.
 
Yaan hapa teller za kuweka na kutoa ziko nne bt zinazofanya kazi ni mbili tuu,hizo mbili zingine wanajua wenyewe wanachokifanya ,ukweli watu ni wengi na foleni ni kubwa ukizingatia waanatumia mfumo wa tiketi,kwa hyo hadi tiketi namba yamba iitwe mmmh ushabunda sana,anghalieni bhana watu wana mambo yao kama mnapenda kutuona tumekaa tu hapa kwenye viti coz ya kiyoyozi na tv hata hatuvitaki cc tumefata huduma.

SOURCE : Mimi mwenyewe nko hapa ss hv ni km lisaa hivi nina tiketi namba 48.

Pole sana!! yaani hiyo system ya kuwa na madirisha mengi ya kuwekea na kutolea hela lakini linalofanya kazi ni moja au mawili si nzuri.
Nakushauri siku nyingine kama una deposit na si kipindi cha wanafunzi kufungua chuo kama hivi sasa, nenda UDSM Branch (Main Campus) au Mabibo Hostel mini Branch, foleni hakuna, kama ipo inatembea.
 
Hivi kuna maana gani kuwa madirisha mengi lakini lifanye kazi dirisha moja. Branch managers wanatakiwa waangalie na situation, kama customers ni wachache basi tellers wapunguzwe, lakini unakuta watu zaidi ya mia na teller wapo wawili ilihali madirisha manne hayana tellers, inaboa sana, CRDB mmelewa sifa, vibenki vidogo vitaanza kuwafunika kwani nanyi mlitoka hukohuko
 
iyo ni kero kubwa inayowaboa wateja, nadhan apo CRDB watakuwa wamepata ujumbe warekebishe, nami kuna siku niliingia pale kijitonyama nikaambulia kuondoka na tiketi yangu mkononi bila huduma. ila kwa kuwa mteja ni mfalme basi crdb warekebishe sio tu kijitonyama bali matawi yoote...hapana sababu ya kukaa foleni wakati uwezekano wa kurahisisha upo. mkuu usinune ujumbe wako nadhani wanaupata kupitia apa jf.
 
Dah Jf raha sana,kwani huu ni mtambo wa kurekebisha tabia,penye baya tutasema lengo ni kujenga na cyo kubomoa,wanatakiwa waangalie simbanking zinavyokuja kwa kasi na ufanisi mkubwa kila kukicha wao wanalala,wengine tunasave visenti tukiona kero tutaanzaa kuviweka kwenye cm tu kama airtel money,tigo pesa na m-pesa kwani sasa hivi even mamilioni unasave tu.Angalieni bhana na ujumbe huu uwafikie wahusika wa mabenki yote tu cyo CRDB kwani naamin kuna wahusika ktk Taasisi hizo mnatembelea JF...
 
Siyo hao tu bali benki nyingi sana hali iko vile tatizo ni kuajiri kwa vimemo na kuangalia sura badala ya ufanisi. Nenda Exim Mlimani City na benki nyingine nyingi tu hali ni hivyo

Naam, matawi mengi ya benki yako hivyo na nadhani NBC ndo kinara wao.

Sijawahi kuona libenki libovu kama hilo NBC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom