nawe si sikukuu hiiWake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
wangekua wajanja wakatoa loans chap, unaiback kwa acc yako ya crdb, wangekula %% chap sanaNMB achukue point hapa.
walisema downtime itakua ndani ya masaa fln tu na wakayaorodhesha, la now mzigo wote upo downMkuu, walitangaza kwamba wanafanya maboresho ya mfumo kwa muda wa siku tatu. Ulipuuzia hilo tangazo?
Umezungumzia Pemba Wenzio Wala sikukuuWake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Wake kwa Waume habari zenu.

Kijani walituambia tutatumia ATM na miamala ya simu lakini wapi. Ni muendelezo wa ujinga ujinga tu. Unawezaje kufunga huduma zote za benki kwa siku 3?Wake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?
Maybe yanafanyika maboresho ya kudumu kuondoa izo changamotoFor CRDB imekuwa too much