asante sana mkuu... tushapoa, tutafanyaje sasa?poleni sana.....
sijui kama watalipa mana wakati wafanyakazi wanafatilia hayo, wamekuta mzee mmoja mwezi wa pili huu nae anafatilia hilo hilo... nae walichomoa hela zake zootePoleni sana! Duhhh.... Benki itawalipa. Nasikitika kwa kuwa itakuwa hasara kwa Benki
usemalo ni kweli mkuu... shida ni kuwa wanataka kutajilika kupitia migongo ya wavuja jasho wengine!!Vijana wengi graduates wanaajiriwa kwenye Benki, wanapata tamaa za kuwa na magari na kunywa bia kwenye starehe ila vijimishahara vyao ni vidogo hivyo wanakuwa wezi tu.
aisiii hii inawezekana kweli....Tatizo inawezekana pia ni aina ya mfumo unaotumiwa na benki hiyo na nyinginezo kwani teknolojia katika mabenki hayo ni ile iliyo kwisha tumika ulaya hivyo ni mitumba na waliokwisha itumia inakuwa rahisi kwao kutemper na kuiba kwa urahisi hasa kupita ATM.
Vijana wengi graduates wanaajiriwa kwenye Benki, wanapata tamaa za kuwa na magari na kunywa bia kwenye starehe ila vijimishahara vyao ni vidogo hivyo wanakuwa wezi tu.
songíto;4946410 said:wandugu mimi ni mfanyakazi wa taasisi moja binafsi hapa iringa, kuna mishahara ya wafanyakazi inapitia bank ya crdb iringa branch... Mishahara ya mwezi huu imeingia ila watu karibu 9 wamekuta account nyeupe kabisaaaa tena kwa mpigo. Kwenda kufuatilia wanaambiwa wamechukua hela eti visiwa vya shelisheli na wengine msumbiji... Wakati hawajawahi kwenda hizo sehemu!! Katika kufuatilia bank inasema eti wasubiri 45 days wanachunguza kuna nini kimetokea, ila majibu rahisi ya mwanzo ni kuwa wameibiwa kwa nia za mtandao...
Mi nadhani kuna wafanyakazi crdb sio waaminifu hasa upande wa it ambao wanacheza na system... Ambapo kazi inabidi ifanyike kuwabaini... Wafanyakazi zaidi ya 30 wanaazimia kufunga account zao huko....
Nasema this is too much...
Kaka poleni! Hiyo ni Hasara kwa Bank after investigation inayochukua 45 days watarudishiwa but ni vzuri kufuatilia from time to time, nami ilishanitokea CRDB ilichukua zaidi ya miezi miwili hela kurudishwa.Songíto;4946410 said:Wandugu mimi ni mfanyakazi wa taasisi moja binafsi hapa iringa, kuna mishahara ya wafanyakazi inapitia bank ya CRDB Iringa branch... Mishahara ya mwezi huu imeingia ila watu karibu 9 wamekuta account nyeupe kabisaaaa tena kwa mpigo. Kwenda kufuatilia wanaambiwa wamechukua hela eti visiwa vya shelisheli na wengine msumbiji... wakati hawajawahi kwenda hizo sehemu!! Katika kufuatilia bank inasema eti wasubiri 45 days wanachunguza kuna nini kimetokea, ila majibu rahisi ya mwanzo ni kuwa wameibiwa kwa nia za mtandao...
Mi nadhani kuna wafanyakazi crdb sio waaminifu hasa upande wa IT ambao wanacheza na system... ambapo kazi inabidi ifanyike kuwabaini... Wafanyakazi zaidi ya 30 wanaazimia kufunga account zao huko....
Nasema this is too much...
mie niko bank though siyo crdb wat i know ni kwamba kuna wizi mkali sana unaoendelea sasa hivi katika ATM zetu kuna vifaa ambavyo jamaa(matapeli) wanafunga kwenye atm ambacho kina detect number za siri, za mteja na hivyo kuwawezesha kutengeneza za kwao na kuja kupiga hela. swala la siku 45 ni sahihi kabisa maana kumrefund mteja ni swala ambalo watakiwa kujihakiki sana. coz siyo kila anae claim ni kweli kaibiwa wengine ni janja janja tuu. so poleni sana.